Hio 2014 RR ikiingia kwenye dimbwi ndani inakuonyesha level ya maji ilimoingia....Kama ni hatari inakwambia,matairi kila moja linakuwa na power game tofauti kulingana na terrain yaani ni balaa ndio maana mi sioni sehemu ambayo hizi vx v8 zitapita RR isipite!hizo winch na air cleaner za juu ni optional gari yoyote unaweza kuweka
MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!
Hivi mkuu hiyo ya 260kmp, hao V8 wanaweza kunifuata kweli? Maana nikipiga chafya mara nne inabaki historia tu, Mimi hayo ma SUV labda ITOOKEE TU(kwa sauti ya shehe KIPOZEO)
| Powertrain | 6.2L V8 engine 2WD | 6.2L V8 engine 4WD |
|---|---|---|
| Fuel Type | Gas V8 | Gas V8 |
| Displacement (liters/cu. in.) | 6.2L/376 | 6.2L/376 |
| Fuel Injection | Electronic Fuel Injection | Electronic Fuel Injection |
| Horsepower @ RPM | 420 @ 5600 | 420 @ 5600 |
| Torque (lb.- ft.) @ RPM | 460 @ 4100 | 460 @ 4100 |
| Drivetrain | Two Wheel Drive | Four Wheel Drive |
| Alternator (Amps) | 170 | 170 |
Ipo kwenye ile clip ya Bulldog chini baada ya ile vx inayovuka mto.
Hayo madude yakikuomba njia yapishe unaweza kukata timing belt au kupasua injini yako bure....Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...
Hayo madude yakikuomba njia yapishe unaweza kukata timing belt au kupasua injini yako bure....
Mkuu mbona katika hizo SUV mm nilishajieleza ni TOYOTA VX-V8Habari mkuu.
Yani hapo naongelea package nzima sio kitu kimoja. Najua kati ya hizo kuna ambayo ni top of class.
Yuko jamaa mmoja kanunua brevis juzi anasema hamna impreza au forester inayoweza kuweka league na brevis, nikajua tu huyu jamaa amefall in love na brevis yake ila haujui moto wa Sti.
Ni kweli mkuu, kama unaupenda uhai wa injini ya gari yako usifanye ligi na madude hayo. Nikiwa na Lexus Harrier niliwahi kupitwa na jamaa mwenye dude kama hilo kwenye kona moja maeneo ya rufiji njia ya kuelekea Lindi jamaa alikuwa spidi zaidi ya 100 hata kuyumba halikuyumba kudadadeki. Hiyo kona watu wengi wasioijua wamekuwa wakiacha magari hapo, lakini kwa jinsi jamaa alivyopita ikabidi nimsalimie Igweeeeeeeeee.....Yuko jamaa mmoja kanunua brevis juzi anasema hamna impreza au forester inayoweza kuweka league na brevis, nikajua tu huyu jamaa amefall in love na brevis yake ila haujui moto wa Sti.
Mkuu mbona katika hizo SUV mm nilishajieleza ni TOYOTA VX-V8
piga ua galagaza kotekote hilo Kilimo kwanza la Petrol halina mfanowe
wakati likiwa limesimama silence ukipiga race ni gari pekee linalocheza/ kuyumba au kunesa hii inaonesha jinsi injini yake ilivyo bora.
Ni gari pekee inayoweza kutoka Musoma kupitia Serengeti, Mbuguni Kiteto Mikumi kwenye barabara mchanganyiko na kutua Dar ukalizima hapohapo bila ya kuchemsha wala bush yeyote kuharibika (jaribu RR au NISSAN ni lazima uingie gareji)
SUBARU ni kiboko kwenye lami tu MkuuMkuu, hivi nikiwa na ka Subaru kangu siwezi kuona hata vumbi lake? Maana unanitisha.
Naomba nimwage hapa huyu mnyama 2015 ESCALADE /ESV specs..
View attachment 229116
POWERTRAIN
Learn about the advanced Escalade / ESV powertrain.
Powertrain 6.2L V8 engine 2WD 6.2L V8 engine 4WD Fuel Type Gas V8 Gas V8 Displacement (liters/cu. in.) 6.2L/376 6.2L/376 Fuel Injection Electronic Fuel Injection Electronic Fuel Injection Horsepower @ RPM 420 @ 5600 420 @ 5600 Torque (lb.- ft.) @ RPM 460 @ 4100 460 @ 4100 Drivetrain Two Wheel Drive Four Wheel Drive Alternator (Amps) 170 170
SUBARU ni kiboko kwenye lami tu Mkuu
Gari Comfortable, Durability na sustainable barabarani ni Kilimo kwanza
- kanachomoka usiombe lakini kwenye vumbi na changarawe kanahama na katakuua
- kwenye bump hakawezi katapinduka kakuache hewani
- kwenye mashimo ya lami (km pale Mlandizi kwenda daraja la Wami palipojaa maji sasa kuna mahandaki na matuta ya lami) katatembelea kifua
- kwa barabara zote za Tanzania SUBARU katachagua 10% ya barabara zetuhakawezi kutoka Babati kwenda Iringa roughroad utaokota tairi kila moja upande wake
hata Escort No 1 Benzi huwa zinakaa pembeni zikisikia msafara utatumia rough road na baadhi za barabara za milima km Mvomero- Segera- Msata -Bagamoyo huko hata RR au NISSAN huzikuti
Hii mada naona ni kama, watoto magari yanapita halafu wanaulizana , lipi zuri.
Hayo magari kujibu swali lako , inahitaji specification na performance na mambo mengine ya kitaalam, value for money nk nk.
Zaidi ya hapo naona mada inachangiwa pasipo vigezo vyovyote vya kiufundi, vinavyoweza kuthibitishwa kitaalam
jamaa yangu Bulldo hapo TOYOTA anatisha hasa dk ya 5:00 alivyomaliza kilima na jiwe lake Jeep wala Hammer hawakuweza hata angeingia Mitsubishi Pajero (ya Sahara Rally) Benz wala NISSAN ni mweleka tuHii hapa mkuu
hebu kaingize hako kagari kako ka SUBARU kwenye hii milima yetu ya Kondoa au Ngulu Suji -Makanya same kama hakakupasua injiniNi kweli mkuu, kwa SUV kwa hali ya barabara za Tanzania VX v8 ina uwezo wa kuhimili sana tu, ila tunapokuja Ku compare hizi gari ndogo brevis hawezi kuona moto wa impreza wrx sti 260kph iwe lami au rough road