Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Hio 2014 RR ikiingia kwenye dimbwi ndani inakuonyesha level ya maji ilimoingia....Kama ni hatari inakwambia,matairi kila moja linakuwa na power game tofauti kulingana na terrain yaani ni balaa ndio maana mi sioni sehemu ambayo hizi vx v8 zitapita RR isipite!hizo winch na air cleaner za juu ni optional gari yoyote unaweza kuweka

I know kuwa ni optional ndio maana nikasema "accessories" mlimani city lipo duka pale kama hawajalihamisha ukiingia unaweza jiuliza maswali mengi on prices!!!

Mi sina doubt na Range au Europe cars nyingi ila tu sikuwa na interest saana nazo especially RR kufuatilia lakini pia sijawa karibu nazo kiasi cha "kutumia" ndio maana najifunza zaid on RR hapa haswa kwako maana naona u like this guzzler
 
Kuna kitu Cadillac Escalade. Siijui sana kuhusu specifications zake lakini kwa muonekano dude la mmarekani linatisha kuliko V8 na RR

Siijui hii gari zaidi ya kuiona kwenye mitandao na kwenye muvi, ila inaonekana ni luxury sana, na kwa huku kwetu zitavunjika tu springs, zinanesa nesa sana, la sivyo ruti ziwe posta na masaki.
 
Ha ahaaa na sproiler la kufa mtu ushafunga cross over mziki unapasua anga tu!!!!

MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!
 
Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...

Hivi mkuu hiyo ya 260kmp, hao V8 wanaweza kunifuata kweli? Maana nikipiga chafya mara nne inabaki historia tu, Mimi hayo ma SUV labda ITOOKEE TU(kwa sauti ya shehe KIPOZEO)
 
Back
Top Bottom