Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Marcedes wapo nyuma? Are u sure?

cdb451fada2e8cf0caa6011283672d62.jpg

Kwa hiyo mkuu hilo ndo mercedes unayoiona kali?
 
Kwa mimi nahisi bei inaweza ikawa kikwazo.mfano uingeleza wanatumia range sport kwanzia royal family mpaka watumishi wa government na range huwezi ukalinganisha na gari zinazo undwa na Toyota au Nissan
wanatumia Range Rover ili kuonesha uzalendo wa gari zinazozalishwa na viwanda vya waingereza wenzao na ambavyo serikali ina hisa pia...sawa na marekani rais na watumishi kutumia MaCadilac au product za General Motors Corporations sawa na Japan pia wanavyotmia Toyota au ujerumani wanavyotumia BMW au Benz au Ufaransa wanavyotumia Citroen
 
Hivi unajua unachokiongea wewe au unaandika tu kwa ushabiki? Unasema Mercedes Benz wako nyuma sana kwenye SUV una uhakika?
Unasema eti BMW wako nyuma na Range Rover hivi unajua ni nani kaipa Range Rover jina? Unajua ya kwamba Range Rover ilikuwa inamilikiwa na BMW kabla ya Wahindi (TATA) kuinunua? Range Rover iliyopita ambayo wote ndiyo mnaifagilia Hapa ilitengenezwa na BMW na hata wanatumia engine moja na BMW X5, sasa kama BMW ndiyo walioitengeneza Range Rover iweje leo hii useme kwamba BMW wako nyuma kwa Range Rover?

Tatizo watu mmecremu kuwa benz ndiyo gari kali,hyo ndio shida sasa,kununuliwa na nani sijui,kutumia injini ya aina moja sijui,hakuiondolei SUV ya BMW kuwa na mvuto kuliko benzi,ni maoni yng tu mkuu
 
Mkuu hebu nijuze kitu kaka, hivi kuna organization inaingiza gari machakani kuliko serikali???!!!
Why wanatumia sana Vx kuliko range hata kwa mawaziri japo??!!!
Kwa uelewa wangu mfupi Discovery 3&4 zina tuzo za off road sikumbuki tittle yake ila RR sijawahi sikia imeshinda hiyo maneno na Rover kama niko sahihi wanaitumia hiyo Discovery kutangaza durability ya hizo gari why not RR??!!
Unless "the best" iwe blind on context. . . . . Lakini kama ni context sensitive basi best yaweza kuwa Discovery . I stand to be enlightened

Kuna mshikaji wangu anaipenda sana discovery 3/4. Yupo radhi aibe ili anunue hii kitu.
 
Mkuu ukiambiwa off road ni off road kataa asee ndio maana kuna accessories za gari kwa ajili ya off road "ngumu" hizo zinazoitwa gari kwa ajili ya off raod mathalan Hilux new model 2.5G (??!!) kuna ambazo ukiitia kwenye tope radiator inajaa tooe vibaya kabisa inaweza hata kuchemsha. . . . . Ila kwenye vumbi na lami safi tu. . . . .Kuna off road zina ditches bonet inabaki pua tu ndio maana kuna "mkonga" unawekwa claener inapumulia usawa wa roof, gari inawekwa remote controlled winch kama itakalia diff. . . . .Off raod sio general term mkuu wangu ziko off road dume na jike nadhani

Kuna siku tulikuwa tunaenda tanga kupitia hii njia ya pangani na hii pickup, tukafika maeneo ya mkata gari ikazama kwenye matope na kuziba kabisa radiator, ukiitaka kujinasua joto linapanda ghafla sana. Ilibidi tuwaobe Toyota TZ waje kuichukua gari wakaifanyie full service.
 
Shukraan Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi umeipenda.

Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...
 
Mkuu ukiambiwa off road ni off road kataa asee ndio maana kuna accessories za gari kwa ajili ya off road "ngumu" hizo zinazoitwa gari kwa ajili ya off raod mathalan Hilux new model 2.5G (??!!) kuna ambazo ukiitia kwenye tope radiator inajaa tooe vibaya kabisa inaweza hata kuchemsha. . . . . Ila kwenye vumbi na lami safi tu. . . . .Kuna off road zina ditches bonet inabaki pua tu ndio maana kuna "mkonga" unawekwa claener inapumulia usawa wa roof, gari inawekwa remote controlled winch kama itakalia diff. . . . .Off raod sio general term mkuu wangu ziko off road dume na jike nadhani

Hio 2014 RR ikiingia kwenye dimbwi ndani inakuonyesha level ya maji ilimoingia....Kama ni hatari inakwambia,matairi kila moja linakuwa na power game tofauti kulingana na terrain yaani ni balaa ndio maana mi sioni sehemu ambayo hizi vx v8 zitapita RR isipite!hizo winch na air cleaner za juu ni optional gari yoyote unaweza kuweka
 
Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...

Ha ha haaaa Blow Off Valve. . . . .. .kweli unapenda gari
 
Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...

Mambo yenu vijana sisi wazee na Subaru tutsonekana tuna 'midlife crisis'
 
Back
Top Bottom