we ndo mshamba then we unajua wat real do the job ni torque
LAND CRUISER NI MWISHO WA MATATIZO
ANAGLIA HII CLIPS YA MWISHO YA TOP GEAR, KWANZA JUA KUWA TOP GEAR NI WANGERELEZA NA LAND ROVER NI WANGELEZA PIA LAKIN WANAKWAMBIA LAND CRUISER NI NOMA SANA, SASA NAKUSHANGAA WW UNAVYISEMA RR NDIO NOMA
https://www.youtube.com/watch?v=JwT2rPP-FoA
Mmmh mimi huwa naona hiyo Nissan Patrol imefanana na Infinity QX80 kwa muonekano...
Infinity ni jina la kibiashara la mbadala wa nissan kwa masoko ya ulaya,so gari hio hio kwa soko la Japan itaitwa nissan ila ukiikuta marekani itaitwa infiniti,kuna nchi huwa wanaziita pathfinder bila shaka!
Hii mada haijafa tu?
Nimeongeza BMW na Marcedes BENZ
Brother ukiniuliza nayataka yooote... ila nitakuambia hilo Range Rover nalizimia zaidi. ukikuta ile Edited Version ile Range Rove Lumma ni balaa.
but nikikaa nikiangalia uhalisia na kukumbuka naishi Tanzania, nafikiria kuchukua hilo LAnd Cruser. sababu kubwa ni availability ya spare parts and kuna notion kwamba zimetengenzwa kukidhi trpoical conditions na infrastructure mbovu za Africa.
hayo ni mawazo Yangu tu.
hapo kwenye BMW ungeweka x5 siyo x3.
Majibu yatakuwa kulingana na driving experience.Nimeufatilia huu uzi tanga mwaka Jana rais aliyekuwa madarakani alikua ni Kikwete, na sasa rais ni Magufuli but bado hakuna jibu.
By the way ligi ibaki kwa Land cruise na Range Rover kisha tupeni jibu who is the best?