Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Mmmh mimi huwa naona hiyo Nissan Patrol imefanana na Infinity QX80 kwa muonekano...

Infinity ni jina la kibiashara la mbadala wa nissan kwa masoko ya ulaya,so gari hio hio kwa soko la Japan itaitwa nissan ila ukiikuta marekani itaitwa infiniti,kuna nchi huwa wanaziita pathfinder bila shaka!
 
Gotcha...

Brother ukiniuliza nayataka yooote... ila nitakuambia hilo Range Rover nalizimia zaidi. ukikuta ile Edited Version ile Range Rove Lumma ni balaa.

but nikikaa nikiangalia uhalisia na kukumbuka naishi Tanzania, nafikiria kuchukua hilo LAnd Cruser. sababu kubwa ni availability ya spare parts and kuna notion kwamba zimetengenzwa kukidhi trpoical conditions na infrastructure mbovu za Africa.

hayo ni mawazo Yangu tu.

article-2477960-1906E63A00000578-171_634x353.jpg

style.jpg

Toyota-Land-Cruiser-2013-Price-in-Pakistan-2014-Pictures.jpg

Nimeongeza BMW na Marcedes BENZ

2009_mercedes_benz_suv-wide.jpg

2015-Mercedes-Concept-Coupe-SUV-vs-2015-BMW-X6-bmw-610x330.jpg
 
Brother ukiniuliza nayataka yooote... ila nitakuambia hilo Range Rover nalizimia zaidi. ukikuta ile Edited Version ile Range Rove Lumma ni balaa.

but nikikaa nikiangalia uhalisia na kukumbuka naishi Tanzania, nafikiria kuchukua hilo LAnd Cruser. sababu kubwa ni availability ya spare parts and kuna notion kwamba zimetengenzwa kukidhi trpoical conditions na infrastructure mbovu za Africa.

hayo ni mawazo Yangu tu.

Range Rover ni zaidi ya Land Cruiser in performance wise.

Kwenye spare parts nakubaliana na wewe.
 
kwangu mimi "Nissan patrol" naielewa sana hata ikipaki sehemu you what you feel
 
Gari uzuri wake UJUE UNATAKA KUTUMIA WAPI.. kwa mjini of course BMW, Mercedes, Range ndio habari... ila ukitaka both town and BUSH....i.e "OFF ROAD" then Landcruiser, Nissan Patrol ndio yenyewe....!!!

So ni wewe kuangalia, ni wapi utatumia that car... hili ndio jambo kubwa sana KIUTAALAM...
 
Nimeufatilia huu uzi tanga mwaka Jana rais aliyekuwa madarakani alikua ni Kikwete, na sasa rais ni Magufuli but bado hakuna jibu.
By the way ligi ibaki kwa Land cruise na Range Rover kisha tupeni jibu who is the best?
 
Majibu yatakuwa kulingana na driving experience.
 
Back
Top Bottom