Kati ya njaa na usingizi kipi unaweza kukivumilia

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mfano jana ilikuwa jumanne ukala, ukashiba na ukalala vizuri.

Leo jumatano saa 12 asubuhi umeamka unapewa amri uchague kukosa kitu kimoja kati ya hivi.

1.Usile chochote kuanzia saa 12 asubuhi leo jumatano kwa siku mbili (utakula tena hadi ifike saa 12 keshokutwa ijumaa)

2.Usilale kuanzia saa 12 asubuhi leo jumatano kwa siku mbili (utalala tena hadi ifike saa 12 keshokutwa ijumaa)
 
Kuna siku nililala nikiwa chooni lakini njaa bado itaendelea kubaki juu kileleni.
 
Usingizi naeza kutoboa hata siku 3, lakini njaa masaa tu siwezi.
 
bora nisilale ila sio kula weeee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
This is future impossible tense
 
Usingizi naeza kutoboa hata siku 3, lakini njaa masaa tu siwezi.
Siku 3? Usingizi? Labda kama utakuwa unakaa tu ndani bila kufanya shughuli yoyote.

Wajuvi wamesema, njaa kwa ke inaweza kuwa stahimilivu kama deni la taifa, kwa me ni kama siku 4 tu, ngoja nifuatilie kuhusu usingizi...ila jua kuwa dakika inatosha kupunguza usingizi.
 
Hata wale waliosema kula lazima kuoga hiari hawakuwa mbali na ukweli

Mie nitachagua kula
 


Sijawahi lakini kila nikijipima kwa kufikiria mie njaa siwezi vumilia aisee. Usingizi naweza sababu hata huwa sina usingizi.
 
Mhhh! Njaa hapana kwa kweli ni issue nyingine kabisa.... #TatizoHilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…