sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mfano jana ilikuwa jumanne ukala, ukashiba na ukalala vizuri.
Leo jumatano saa 12 asubuhi umeamka unapewa amri uchague kukosa kitu kimoja kati ya hivi.
1.Usile chochote kuanzia saa 12 asubuhi leo jumatano kwa siku mbili (utakula tena hadi ifike saa 12 keshokutwa ijumaa)
2.Usilale kuanzia saa 12 asubuhi leo jumatano kwa siku mbili (utalala tena hadi ifike saa 12 keshokutwa ijumaa)