Bora anae shout ukimtuliza mara nyingi hasira huwa zinaisha, hawa wanao kaa kimya hua hawaeleki kabisa unaeza mkosea akawa anakuangalia tu kumbe mwenzako ana plan yake kichwani akubamizie wapi na wewe usikilizie maumivu.
Wanao cry nao afadhali kidogo japo kua wengi wao hubaki na visasi na wanaeza fanya maamuzi ya haraka pasina kufikiria ili mradi tu watulize nafsi zao kwa wakati huo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.