Kati ya Nyegere(Honey badger) na Fisi-maji(Otter) nani hatari?

Kwa tuliokulia kando ya ziwa tunajua balaa la fisi maji. Huyu bwana anaweza kubaka hata kidonda chako cha mguuni ukiwa unaogelea. Anapenda kunanihii kuliko kula hua anabaka mawe,mitumbwi iliyoegeshwa na matete[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji114][emoji114]
 
Huyu Nyegere ana wivu kupindukia mpaka kuua....nasikia anaweza kukufuatilia huku akinusu harufu yako kujua ulipopita mpaka kwako akakudhuru (Sina hakika na hili).
 
Nyegere ni hatari nikiwa maeneo ya kaliua huko Tabora nilishuhudia akiua koboko dume kubwa kweli! Mpaka leo namrespect sana huyo mnyama. Haogopi kitu kabisa.
Mkuu koboko dume ulimjuaje mzee baba?[emoji3]
 
Nyegere balaaa lake linajulikana zama you-tube au googlee mwamba anatiiishaaaa mwambaaa siooo muogaaaa mwamba kamaaa Mwigulu Nchembaaa analambaaaa asaliiii
Kuna video niliiona Natgeo Nyegere alikua anamchokoza chokoza Simba,mzee baba Simba akawa anamu-ignore nyegere akaendelea kumchokoza aisee Simba alikakamata alikavuruga ndani ya sekunde 30 kakawa akhera tayari.
 
Nyegere balaaa lake linajulikana zama you-tube au googlee mwamba anatiiishaaaa mwambaaa siooo muogaaaa mwamba kamaaa Mwigulu Nchembaaa analambaaaa asaliiii
Nyegere anatisha kweli. Lakini ingia Youtube usearch otter uone balaa lake.
 
For my own opinion, mimi naona wote ni hatari, Kwa sababu Nyegere(Honey Badger) yeye anaishi na kuinteract na mazingira katika Land Ecosystem huku Fisi maji(Otter) anaishi na kuinteract mazingira most of the time katika Water Ecosystem.
So ni ngumu kujua iyo Hatari umeiclassify Kwa sifa hipi na Kwa mlengo hupi? Kwa maana Hatari inaweza kuwa classified accordingly to Poison, Strongest Bite, Physical Strength, na vingine vingi.
Kwa maana neno Hatari au Danger ni wider terminology unapokuja kwenye Animal World.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…