Hearly Loyalty
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 411
- 370
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] tozo zitawauaVyovyote vile ila swali langu ni hili; ninapotoa akiba yangu (SAVINGS) ambayo niliwakabidhi benki wanitunzie (na service charge juu) nakua nimeingiza kipato gani cha kustahili kukatwa kodi/tozo? Wataalamu wa kodi mnisaidie