Kati ya Onana na Max nani bora?

WEEK ILIYOPITA KULIKUWA NA UZI NANI MWENYE MASHABIKI WENGI KATI YA SIMBA NA YANGA!


YANGA TULISHIDWA
 
We Famba hujui kuandika
Una akili ndogo sana mdogo wangu. Umeshindwa kugundua herufi s na d zinafuatana kwenye keyboard yangu ya simu! Hiyo ni kawaida kabisa kutokea kwa typing error!!!

Ila nakupongeza sana!
Kwanza kwa kunifuatilia mzee wako, na pia kwa kuacha ule uandishi wako wa chekechea; wa kuchanganya herufi kubwa na ndogo.
 
Onana ataondoka na kiatu msimu huu ndo kawaida yake huanza taratibu ila likiwaka anakuwa wa moto kwa mujibu wa simu ambayo etoo amewapigia simba hiv karibuni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…