kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Ni heri ninunue hii nilikuwa nataka kununua Air fryerOven nzuri Tena ata kuku unachoma vzr ☺️
Yaan iyo nyama haitapumua vzr hewa itoke mambo inatakiwa iive vzr ☺️Ni heri ninunue hii nilikuwa nataka kununua Air fryer
Asante ntaenda kununua OvenYaan iyo nyama haitapumua vzr hewa itoke mambo inatakiwa iive vzr ☺️
Picha ya oven nzuri wekaAsante ntaenda kununua Oven
Thread 'Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula' Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakulaAsante ntaenda kununua Oven
Asante nimeupitia huo uziThread 'Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula' Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula
Nzuri bado sijajua ni ipiPicha ya oven nzuri weka
Nini kinachoma sasa?Oven haiwezi choma nyama, wala hiyo air fryer haiwezi choma nyama. Haya uliza jingine.
Asante nimeupitia huo uzi
Ngoja niyafanyie kaziNimeona uku majibu yapo 😎
Nasikia ukichoma kuku anakuwa kau kauChukua air fryer