The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Unafikiri unaweza kujifanya kuwa kipofu, unafikiri unaweza kujifanya kusikia sauti ikikusemesha na kukutaja jina lako waziwazi kuwa unamuuzi Mungu, unafikiri unaweza kujifanya kufuata maelekezo ya kwenda kwa mtu mwingine kupata uponyaji wa macho yako? Unafikiri unaweza kujifanya kuacha kuua wanafunzi wa Yesu na kuanza kumhubiri yuleyule uliyekuwa unamkataa?Paulo wa Tarso jambazi aliyefisika kwa kuua wanafunzi wa Yesu hadi alipozidiwa kete tokana na kuongezeka na kuwa na nguvu mbali na kukubalika kwa Yesu akajifanya kakutana na Yesu wakati hakuwa amewahi kuonana naye uso kwa uso.
Hapana. Paulo ndiye aliyeuanzisha ukristo na kumsingizia Yesu kama utasoma vizuri.Mkuu hapo unazungumzia kati ya Habari na Mwandishi au msambazaji wa Habari, afu unauliza nani kasambaza habarii.
Ukristo ulifuata baada ya Kristo. Kipindi Ukristo unaenezwa Yesu ambaye ndie Kristo hakuwepo. So moja kwa moja Paul ndiye alieeneza Ukristo ( habari za kikristo)
Inawezekana sana na ndiyo maana bado tuna watu wanaojifanya kutokewa na Yesu yule Muingereza Brian Deacon wakidhani ni Yesu. Hata wanaojifanya kutokewa na maruhani kadhalika. Hivyo, inawezekana kabisa mwanangu. Hii ni kama karata tatu au utapeli wa akina gwajima kujifanya wanatenda miujiza wakati wale wanaodai 'kuwaponya' wanakuwa watu wao waliowaweka kama chambo kuwana mazwazwa na waliokata tamaa mwanangu.Unafikiri unaweza kujifanya kuwa kipofu, unafikiri unaweza kujifanya kusikia sauti ikikusemesha na kukutaja jina lako waziwazi kuwa unamuuzi Mungu, unafikiri unaweza kujifanya kufuata maelekezo ya kwenda kwa mtu mwingine kupata uponyaji wa macho yako? Unafikiri unaweza kujifanya kuacha kuua wanafunzi wa Yesu na kuanza kumhubiri yuleyule uliyekuwa unamkataa?
Kwa akili yako ni jambo jepesi kuamini na kuanza kulifanyia kazi kwa nguvu zote kiasi hicho?
Unafikiri ni rahisi kupitia mateso mbalimbali na vifungo vingi kwa ajili ya Yesu yuleyule uliyemkataa na leo unang'ang'ana naye?
Ufikiri kirahisi na kimwili utaona ni rahisi ila huwezi kufanya maamuzi kama ya Sauli ambaye sasa ni Paulo kwa kitu kisichoeleweka.
unaushahdi wa hayo unayoyaongea? Baada ya hao unaodai mitume kuna yeyote alitokewa na Mungu na kufanya kama waliyofanya unaodai mitume,why not these days?Unafikiri unaweza kujifanya kuwa kipofu, unafikiri unaweza kujifanya kusikia sauti ikikusemesha na kukutaja jina lako waziwazi kuwa unamuuzi Mungu, unafikiri unaweza kujifanya kufuata maelekezo ya kwenda kwa mtu mwingine kupata uponyaji wa macho yako? Unafikiri unaweza kujifanya kuacha kuua wanafunzi wa Yesu na kuanza kumhubiri yuleyule uliyekuwa unamkataa?
Kwa akili yako ni jambo jepesi kuamini na kuanza kulifanyia kazi kwa nguvu zote kiasi hicho?
Unafikiri ni rahisi kupitia mateso mbalimbali na vifungo vingi kwa ajili ya Yesu yuleyule uliyemkataa na leo unang'ang'ana naye?
Ufikiri kirahisi na kimwili utaona ni rahisi ila huwezi kufanya maamuzi kama ya Sauli ambaye sasa ni Paulo kwa kitu kisichoeleweka.
Kumbe unahisi, sasa haya sio mambo ya kufikirikaInawezekana sana na ndiyo maana bado tuna watu wanaojifanya kutokewa na Yesu yule Muingereza Brian Deacon wakidhani ni Yesu. Hata wanaojifanya kutokewa na maruhani kadhalika. Hivyo, inawezekana kabisa mwanangu. Hii ni kama karata tatu au utapeli wa akina gwajima kujifanya wanatenda miujiza wakati wale wanaodai 'kuwaponya' wanakuwa watu wao waliowaweka kama chambo kuwana mazwazwa na waliokata tamaa mwanangu.
Ndio ninao uhakika na haya, watu ni wengi tu kwenye biblia waliotokewa na Mungu.unaushahdi wa hayo unayoyaongea? Baada ya hao unaodai mitume kuna yeyote alitokewa na Mungu na kufanya kama waliyofanya unaodai mitume,why not these days?
biblia ni kitabu ambacho kilitungwa na watu kwa lengo la ku civilize watu duniani. Kuanza kunipa mifano ya watu ktk biblia sawa na bure,nataka uniambie baada ya mitume kuisha duniani je kumetokea mtu yeyote mwenye sifa za kama mitume wa kwenye biblia,kama hapana whyNdio ninao uhakika na haya, watu ni wengi tu kwenye biblia waliotokewa na Mungu.
mbona hajatokea mtunzi mzuri wa kitabu kikubwa namna hiyo tena why???biblia ni kitabu ambacho kilitungwa na watu kwa lengo la ku civilize watu duniani. Kuanza kunipa mifano ya watu ktk biblia sawa na bure,nataka uniambie baada ya mitume kuisha duniani je kumetokea mtu yeyote mwenye sifa za kama mitume wa kwenye biblia,kama hapana why
sa kama tayari una majibu haya maswali unauliza yanini? Daftari kuran linawatambua wakristo na wayahudi na wasabahi ni watu wa MUNGU mudi pamoja ujanja wake wote alilelewa na wakristo alipga dili na wakristo ksha akaanzsha dini kwa kuandaa maneno aliyotoa au ku copy toka kwny vitabu alivyovikuta na dini alizozkuta mpk taratibu za ibada akatoa huko ksha akadanganya ameshushiwa toka kwa shetani allah. halafu alivyo fala akawaambia msiwe na urafk na wakristo na wayahudi sjui lengo lake alitaka muwe na dunia yenu isiyochangamana na wakristo na wayahudi.Hapana. Paulo ndiye aliyeuanzisha ukristo na kumsingizia Yesu kama utasoma vizuri.
Unashangaza kweli,biblia ni kitabu ambacho kilitungwa na watu kwa lengo la ku civilize watu duniani. Kuanza kunipa mifano ya watu ktk biblia sawa na bure,nataka uniambie baada ya mitume kuisha duniani je kumetokea mtu yeyote mwenye sifa za kama mitume wa kwenye biblia,kama hapana why
kwa nini na wewe usitokewe na huyo Mungu uje kushuhudia humu,kwa nini unasema watu wa kwenye biblia walitokewa na MUNGU kumbuka biblia ni hadidhi za kutunga. why isiwe wewe umetokewa na Mungu.Ndio ninao uhakika na haya, watu ni wengi tu kwenye biblia waliotokewa na Mungu.
Na huyu alikuwa mzaliwa wa ngapiYesu Kristo ndio mzaliwa wa kwanza, we ni muislam usyeelewa ukristo?