Kati ya Paulo na Yesu nani alianzisha ukristo?

Kati ya Paulo na Yesu nani alianzisha ukristo?

Sio jambo la muhimu kwa Wakristo nani alianzisha Ukristo, jambo muhimu zaidi kwao ni kwamba Yesu Kristo ni mwana wa mungu na alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zao.
Kwahiyo hili andiko halitumiki

Wagalatia 6:5​

"Maana kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe."
 
Paulo alianza kwa kuua Wakristo kama alivyokua anafanya Mohammad, kuua watu wasiokubaliana na imani yake, wote walitumika na shetani.
Yesu akamkabili Paulo na kumbadilisha akawa anahubiri injili, sijui kwanini Yesu alimuacha Mohammad akapotosha, mpaka leo mazombi yanajilipua mabomu na kuua Wakristo na watu wengine hata kuuana wao kwa wao.
 
kwa nini na wewe usitokewe na huyo Mungu uje kushuhudia humu,kwa nini unasema watu wa kwenye biblia walitokewa na MUNGU kumbuka biblia ni hadidhi za kutunga. why isiwe wewe umetokewa na Mungu.
Hukuniuliza mimi, nimejibu hoja yako, acha makasiriko.
 
Umekaribia kuokoka

Save comment yangu

Ukiona unamwandama sana YESU jua upo karbu kuungana naye
 
We rukaruka ila ukifa tunakuzika kwa mujibu wa imani mojawapo kati ya hizo unazozipinga saa hizi
 
Paulo alikuwa ni muyahudi ambae alipandikizwa makusudi aharibu mafundisho ya Yesu, mafundisho ambayo Wayahudi walishayakataa na hadi wakamsulubu Yesu.
Mambo ya Makanisa, Utatu na Ukristo hayapo kwenye Biblia bali yalichomekewa na kina Paulo ili kupoteza uhalisia wa mafundisho ya Yesu ambayo yalipingana na tabia za kishenzi za wayahudi.
 
Back
Top Bottom