Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
kauze ngada, pambafharaka haraka?
Ok mkuu shukran kwa mchango na ushauri wakoKwanza mkuu ondoa hiyo mentality ya kufanikiwa 'haraka haraka'. Mambo huwa hayaendi hivyo.
Huko ndo nilipoanzia mkuu. lkn sasa nataka nipanue biashara zang, sihitaji kutegemea biashara 1.kauze ngada, pambaf
Shukran mkuu kwa ushauri wako uliotukuka.Sio kila pharmacy itakuhakikishia faida,sio kila duka litakuhakikishia faida,sio kila saloon itakuhakikishia faida. Ninachojaribu kusema ni kuwa faida na mafanikio yanategemea wewe.
Nimekuelewa mkuu... Je ikitokea mimi nikafungua salon na kuanza kufanya kazi mwenyew kama kinyozi wa salon yangu. Je huo sio ujasiriamali?Mfanyabiashara ni mtu anayenunua na kuuza bidhaa alizotengeneza mwingine na kupata faida kidogo
Mjasiriamali ni mtu anayetengeneza bidhaa zake mwenyewe na kuziuza na hivyo ana uhakika wa kupata faida kubwa
Tafuta biashara ambayo kuna uwezekano wa kuuza bidhaa ulizoandaa au kuzitengeneza mwenyewe hata kama ni kwa asilimia 90 ndipo utakuwa na uhakika wa biashara yako kukulipa lakini siyo kwa haraka haraka
NDIYO ni ujasiriamaliNimekuelewa mkuu... Je ikitokea mimi nikafungua salon na kuanza kufanya kazi mwenyew kama kinyozi wa salon yangu. Je huo sio ujasiriamali?
Hahahaha.. sawa mkuu nimekuelewa vizuri.NDIYO ni ujasiriamali
Siri ya biashara ya saloon ni eneo
Kama mtaa ni mpya na hakuna saloon zingine uhakika wa kupata hela ni mkubwa ila kama ni mtaa wa zamani na tayari kuna saloon zingine kadhaa hapo tegemea kupata tu hela ya kutosha kulipa Bill ya umeme
Huyu anaonekan mchovu, hata tofauti na vigezo vya kufungua hizo biashara havijui.Kwanza mkuu ondoa hiyo mentality ya kufanikiwa 'haraka haraka'. Mambo huwa hayaendi hivyo.
Mkuu ukweli ni kwamba.. kila mfanya biashara hupenda kuona biashara yake inakwenda haraka ili na yeye apate mafanikio ya haraka. Lakini hata kama hakuna mafanikio ya haraka, basi bora mtu uone faida ya biashara husika.Mafanikio ya haraka?
Unawahi wapi kwani?
Shukran kwa mchango wako mkuu.Huyu anaonekan mchovu, hata tofauti na vigezo vya kufungua hizo biashara havijui.