Huwezi kuondoa..ni kama 'the popular kid at school' hata akifanya kitu cha kawaida au cha kijinga anaonekana wa maana!Hapa kuna the IN group na watu wengi tu wanataka wawe washiriki na waliobaki ni OUT group!Nimeshaona mtu anaanzisha thread inakaa masaa haichangiwi ila mtu wa IN group hata akiandika CRAP tu wengine ndo wanaanza kuchangia!
Jamani cjui hata niseme nini kwa jinsi mlivyonirudisha kwenye khali ya kawaida HUSNINYO,KLOROKWINI,HASHYCOOL ECT.ukweli jana nilipa wakati mugum sana .
Kama kuku kaona mtama we acha 2 mkubwa uvumilivu ndo kila ki2 hapa jamviniNilidhani niko peke yangu niliyekuwa nawaza hivi . . . lol
Mbaya zaidi hao watu ndio wanaitwa GREAT THINKERS sisi wengine ndo kama hivyo . . . thread uliyoianzisha wewe inaonekana booooomu, ngoja thread hiyo hiyo ianzishwe na HAYO MAJINA, watu vuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama kuku kaona mtama, thanks 70, sifa kedekede, mabusu ndo usiseme hayana idadi . . . .
Pamoko comrade lolKama kuku kaona mtama we acha 2 mkubwa uvumilivu ndo kila ki2 hapa jamvini
Uimara wangu ni pamoja na juhudi zako dia bila ww hapa ilikua ni nduki mbaya thanks husninyo am proud of u.
WANACHANGIA SABABU ZIMEBEZI KWENYE NGONO NA SIASA CHOCHEZI (kwa ujumla post zinazochangiwa humu JF) ANDIKA KUHUSU ...ELIMU....UCHUMI...MAENDELEO...MALEZI....UZALENDO UONE KAMA ZITACHANGIWA VYA KUTOSHA (just do that simple research)
unaloliongea ni la kweli kabisa, mimi nimekuwa nikipost threads za developmets, innovations or education points of view lakini cha kushangaza hao great thinkers huwa wala hawa changia hata kidogo. Lkaini leo weka ya Rostam,Lowasa ..utaona jinsi watakavyochangia hata wasilale usiku kucha.
Haya ni matatizo amabo lazima yaangaliwe tena kwa ukaribu sana , sio uongo bali ni ukweli kabisa.
Wnasiasa wapo tu na maendeleo ya nchi yeyote ile kama wanachi wake wamekalia kulaumu na kulalamika kwa kila kitu eti wakitegemea kufanyiwa na serikali yao, shau tena sahau kabisa.
Viongozi wanakuwepo kwa ajili ya kutoa muongozi tu bali maendeleo yanaletwa individually .
RA hata akiondoka sidhani matatizo yetu tuliyonayo yatabadilika kama sio mfumo mzima usipobadilika, kuna tatizo la wananchi na viongozi .
K wa matatizo ya TZ yako pande zote mbili wala sio upande moja tu. sisi tunapenda sana kuangalia upande mmoja na kujisahau upande wetu wenyewe.
Tumetembea nchi nyingi za nje na tumekaa nchi mbali mbali na tunaona serikali zao zinavyofanya , si kwamba kila kitu kinafanya na serikali..wala...
Miss Judith
Hii ya kweli?? Mie nilikuwa sijagundua hebu ngoja nianze uchunguzi dear asante kwa taarifa mpendwa
hii post yako mke mtarajiwa wa mwakani miss wa judith nimeisoma kwa makini na unaonekana kuzungumzia habari ya ubaguzi ndani ya JF . dah! hii ni balaa kwakweli. sasa unashauri nini kifanyike ili hii hali iondoke?
Huwezi kuondoa..ni kama 'the popular kid at school' hata akifanya kitu cha kawaida au cha kijinga anaonekana wa maana!Hapa kuna the IN group na watu wengi tu wanataka wawe washiriki na waliobaki ni OUT group!Nimeshaona mtu anaanzisha thread inakaa masaa haichangiwi ila mtu wa IN group hata akiandika CRAP tu wengine ndo wanaanza kuchangia!
Nilidhani niko peke yangu niliyekuwa nawaza hivi . . . lol
Mbaya zaidi hao watu ndio wanaitwa GREAT THINKERS sisi wengine ndo kama hivyo . . . thread uliyoianzisha wewe inaonekana booooomu, ngoja thread hiyo hiyo ianzishwe na HAYO MAJINA, watu vuluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kama kuku kaona mtama, thanks 70, sifa kedekede, mabusu ndo usiseme hayana idadi . . . .
Kama kuku kaona mtama we acha 2 mkubwa uvumilivu ndo kila ki2 hapa jamvini
Most of pipo in here are GREAT CHOOSERS . .. . .:roll: