Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

Kati ya prado Tx na landcruiser V8 ninunue gari gani?

Nunua hii!!
IMG_20200102_184730.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Mpaka utake kununua V8 ina maana unamiliki gari/magari. Yani una uzoefu na magari. Kwa hili swali lako ni swaga tu huna pesa ya kununua hata bajaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, usinunue yoyote kati ya hizo, zote ni common tu yani very common, labda labda v8 , ila v8 ishakua ya wanasiasa..
Embu tuliza akili naamin utapata gari zuri sana ambalo siyo common kila ukipita mtaani unaliona

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
jamaa mbona unafananisha gari ya milion 20 na gari ya milion 100, yan prado tx ifanane na vx v8 ? jaman wanaoshauri uchukue Tx hawajui magari yan wanarahisisha tu yan engine ya tx iko poa kuliko ya landcruiser vx v8 kweli ? 🤣🤣🤣🤣 watoto wengi sana humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yan kama unahela kweli nunua vx v8 hiyo machine achana nayo yan aisee hiyo gari nyingine ni bei rahis tu ukilinganisha na vx v8...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom