Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prado hamna gari mle..Duuuuu hongera Mkuu kama unataka kumiliki hayo Magari Ila ushauri wangu naona Prado TX iko poa zaidi hasa Kwenye upande wa engine
Mpaka utake kununua V8 ina maana unamiliki gari/magari. Yani una uzoefu na magari. Kwa hili swali lako ni swaga tu huna pesa ya kununua hata bajaji.Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
Yaani ni sawa na mtu kuuliza kati ya Tecno na Note 10 ninunue sim gan??? Kalime kwanza hayo matikiti ukivuna kanunua ist.
..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi in process ....Kumbe hata wewe umeshtukia kama jamaa ni msanii Fulani hiviiii!!!
Mtu ambaye anauwezo wa kumiliki hayo Magari hawezi kuuliza eti ninunue gari gani Kati ya hizi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wachawi mna shida aise [emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka utake kununua V8 ina maana unamiliki gari/magari. Yani una uzoefu na magari. Kwa hili swali lako ni swaga tu huna pesa ya kununua hata bajaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona mpaka YouTube UNA nyimbo we ms.nge kumbe na WE unaimba? Anyway hongera kwa kumiliki helaaaaaaaNifollow hinstagram,Twitter na Facebook kwa jina pnesta kamala
Kumbe lengo lilikua kutafuta followers insta?Nifollow hinstagram,Twitter na Facebook kwa jina pnesta kamala
Mpaka utake kununua V8 ina maana unamiliki gari/magari. Yani una uzoefu na magari. Kwa hili swali lako ni swaga tu huna pesa ya kununua hata bajaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku lilo anasemaje kwani
Mmmmmmh, Mkuu naona chombo matata sana. Hii wapi Mkuu wa Kikosi?
Kiduku LiloKiduku lilo anasemaje kwani
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc
hahaha sina njaaa aseee kama wewe huenda hujapata mlo leo
MjivuniWakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba mnisaidie au mnipe ushauri kati ya gari hizo mbili ni nunue IPI? In term ya mwonekakano etc