Kati ya Press hizi mbili za Wenyeviti wa Chadema kundi lipi ni la kweli?

Kati ya Press hizi mbili za Wenyeviti wa Chadema kundi lipi ni la kweli?

Muda ni hakimu wa yote…. ‘Curiosity killed the cat’ hii tuuachie muda utaamua.
 
BARAZA KUU CHADEMA LEO 20 January 2025 MLIMANI CITY

WAANDISHI WA HABARI MNAKARIBISHWA....HAKUNA KUPOWA MPAKA KIELEWEKE!!!!
 
Team Lisu =Team Matusi, waongo sana.

Wanapenda sana majungu, wanaongozwa wivu uliopitiliza, na mihemko, na wanapenda mapinduzi hata kama hawayawezi.

Achana na Team Lusu ni wahuni, hawana busara wala hekima.
 
Lema mhuni sana!! Eti anakazania Mbowe jitoe jitoe utaaibika loh!!
 
Lema mhuni sana!! Eti anakazania Mbowe jitoe jitoe utaaibika loh!!
Ujinga mtupu, sasa nini maana ya uchaguzi ikiwa wagombea watashinikizwa kujitoa, na ikiwa atakayepata aibu ni Mbowe, yeye Lema ina muhusu nini?

Demokrasia ni pamoja na kuchaguana, wao Team Lisu hawataki, wameng'ang'ania Mbowe ajitoe, Ampishe Lisu.

Ujinga ujinga tu umewajaa.
 
Ule mkutano wao nilitarajia waseme tunaenda kushinda uchaguzi lkn ulijaa vitisho tupu eti Mbowe jitoe! Lema mjinga sana!
 
Najiuliza sanaa ni kitu gani Mbowe alikosana na Lema kiasi kwamba Lema ameamua kucheza drama nyingi chafu kama hizi za kudanganya wana wenyeviti mikoa 25 bila wao kujitambulisha hadharani
 
Press Ya Pili wameonekana wenyeviti 18 wanadai wana wenyeviti 22/33 ila Press ya Kwanza Wenyeviti hata 10 hawafiki hapo ila wanadai wana wenyeviti 25/33 which is which tutaijua tarehe 21
Walisema wako 17 ( kabla ya wa Tabora kufika) na watano wana udhuru lakini wako tayari hata kuongea kwenye simu. Hii shughuli kweli bado mbichi.

Amandla...
 
Ule mkutano wao nilitarajia waseme tunaenda kushinda uchaguzi lkn ulijaa vitisho tupu eti Mbowe jitoe! Lema mjinga sana!
Wanamuogopa, lakini muda huo huo wanajitia uchizi, kujidai hawataki apate aibu.

Demokrasia ni kupigiwa kura ushinde au ushindwe kwa kura za wajumbe.

Kesho tu kazi inaisha.
 
Back
Top Bottom