Kati ya Ronaldinho,Messi na Pele.Yupi ni Fundi wa kuchezea Mpira na Kunyanyasa Wachezaji wa Timu Pinzani?

Yule jamaa alikuwa ana dharau hadi anatembea na mpira na si kukimbia, kuuchukua ni kazi mno. Alikuwa na chenga nyingi kichwani hadi anasema akiwa mbele ya mpinzani hajui ampige chenga gani anajikuta tu katumia mtindo fulani. Hao kina Messi na Maradona asilimia kubwa wanatumia mbinu zake chache
 
LEO ANDRES MESSI NA DIEGO ARMANDO MARADONA.wawili hawa hawana mpinzani mpaka sasa. Anaebisha abishe sasa!!! kwanza haihitaji kuingia youtube wala nini....na ukitaka kujuwa mcheki Zidane, gaucho,cr7 then di lima. utaona kila mmoja anamuiga mwenzie style ya kucheza.Hata Neimar pia hivyo hivyo..ingawa CR7 na Zidane.Ataekuja kubisha basi sio mfatiliaji wa mpira. Ukija kwa DIEGO NA MESSI style zao bado sijaona kwa mchezaji yeyote kuiga, chenga zao za maudhi na wala hazihitaji nguvu,ukilinganisha na viraka wengine. Ukija kwenye ufungaji mpaka raha jamani unapenda kuwatazama all times these players, yani wanascore magoli mazuri mno more than any player.

 

MESSI NA DIEGO hawana mpinzani mpaka now. Style zao hawakuiga kwa mchezaji yeyote mkuu, na hakuna mchezaji aliyeweza kuiga style zao za kucheza wawili hawa. Mcheki Zidane, gaucho,cr7 then di lima. utaona kila mmoja anamuiga mwenzie style ya kucheza. Hata Neimar vile vile...Ataekuja kubisha basi sio mfatiliaji wa mpira.

Ukija kwa pele hakuwa na lolote kipindi hicho hakuna mabeki except wazee alokuwa anacheza nao. Na sheria nyingi hazikuwepo mf: offside n.k
 

Mkuu Wa-pm mods wabadilishe kichwa cha habari.mbona simple tu
 

KING MESSI
KING DIEGO


waliobakia wakasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…