Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool!

Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi.

Je wewe mchambuzi wa JF unahisi nani alistahili tuzo hiyo?



 
Nilitaka kuandika kuhusu favor kwa Ronaldo ila nikikumbuka Mo Salah alivyokichafua mwezi uliopita, unabaki unacheka tu
 
Mwenyewe nimestaajabu kwa ronaldo, hata mafans wake watakuwa wamestaajabishwa na kitendo hicho.

Sipati picha angelikuwa muingereza au mbrazili angeimbwa sana na kupewa tuzo, but from Africans tusitegemee kipya😂


Mfano kwa Gaucho, kwangu mimi jj okocha alikuwa anajuwa zaidi ya gaucho kwa kipindi kile, na ndie amejifunzia kwake(okocha ni mwalimu wa gaucho) lakini hakuimbwa.


Wafanye wafanyavyo, Salah is no 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…