Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unazani hii ni tuzo ya muda wote????? ni tunzo kwa aliyefanya bora ndani ya mwezi pekeeRonaldo na Messi hawana wa kufananishwa nao. TUACHE UNAFKI
Hivi unajua kuwa Okocha hakuwahi kushinda hata tuzo ya mchezaji bora wa AfrikaMwenyewe nimestaajabu kwa ronaldo, hata mafans wake watakuwa wamestaajabishwa na kitendo hicho.
Sipati picha angelikuwa muingereza au mbrazili angeimbwa sana na kupewa tuzo, but from Africans tusitegemee kipya😂
Mfano kwa Gaucho, kwangu mimi jj okocha alikuwa anajuwa zaidi ya gaucho kwa kipindi kile, na ndie amejifunzia kwake(okocha ni mwalimu wa gaucho) lakini hakuimbwa.
Wafanye wafanyavyo, Salah is no 1.
Huyo amekariri maishawewe unazani hii ni tuzo ya muda wote????? ni tunzo kwa aliyefanya bora ndani ya mwezi pekee
Ronaldo na Messi hawana wa kufananishwa nao. TUACHE UNAFIKI.
SalahBaada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool!
Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi.
Je wewe mchambuzi wa JF unahisi nani alistahili tuzo hiyo?
View attachment 1968152
View attachment 1968153
Hivi unajua kuwa Okocha hakuwahi kushinda hata tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
Mbona Okocha ametrend vizuri tuMwenyewe nimestaajabu kwa ronaldo, hata mafans wake watakuwa wamestaajabishwa na kitendo hicho.
Sipati picha angelikuwa muingereza au mbrazili angeimbwa sana na kupewa tuzo, but from Africans tusitegemee kipya[emoji23]
Mfano kwa Gaucho, kwangu mimi jj okocha alikuwa anajuwa zaidi ya gaucho kwa kipindi kile, na ndie amejifunzia kwake(okocha ni mwalimu wa gaucho) lakini hakuimbwa.
Wafanye wafanyavyo, Salah is no 1.
We nae, hii ni mchezaji bora wa premier league kwa mwezi...carabao, UEFA havihusiki hapa...hizo namba haziko sawa.
Salah ana 6 goals + 3 assist katika mechi 7 alizocheza mwezi September.( Nadhani wamechukua mechi za EPL, UCL labda na Carabao)
Ronaldo ana 3 goals katika mechi 4 alizocheza kwenye mwezi huohuo.( Hapa Nadhani wamechukua mechi za EPL na Carabao)
Kwanini upande wa Ronaldo hawajajumlisha na mechi za UCL.??
Kama wangechukua na mechi za UCL Ronaldo angekuwa na Goals 5.
Hata hivyo tukumbuke.
mshindi wa tuzo hii huwa anapatikana kwa kupigiwa Kura., Kama sikosei na mashabiki.( Kwa kuangalia hilo Ronaldo lazima angeshinda tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshajichokea...acha kukariri...Ronaldo na Messi hawana wa kufananishwa nao. TUACHE UNAFIKI.
Kama Carabao na UEFA hazihusiki. Basi Kwa mwezi September Salah hajafikisha Hizo goals na assists.We nae, hii ni mchezaji bora wa premier league kwa mwezi...carabao, UEFA havihusiki hapa...
Soma hapo....statisticsKama Carabao na UEFA hazihusiki. Basi Kwa mwezi September Salah hajafikisha Hizo goals na assists.
Kama sijakosea ana Goals 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hamza au?Salah amefanyiwa "day light robbery"
Tulia dawa iingie vizuri.Salah robbed