Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

Hapo ndio utajua maana ya ubaguzi ni nini kuna msimu mani alifanya vizuri ila eti mo salah akawa ranked juu yake[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi unajua kuwa Okocha hakuwahi kushinda hata tuzo ya mchezaji bora wa Afrika
 
Sal
Salah
 
hizo namba haziko sawa kwa upande wa Salah
Kwa mwezi September ( ambapo tuzo ndio imelenga).
Salah kafunga goli moja moja kwenue mechi za Leeds, Crystal Palace na Brentford. Jumla ni Goli tatu.

Ronaldo kafunga mechi ya Newcastle goli 2 na mechi ya West ham goli 1.

Wote hawana Assist kwa kipindi hicho.


Hata hivyo tukumbuke.
mshindi wa tuzo hii huwa anapatikana kwa kupigiwa Kura., Kama sikosei na mashabiki.( Kwa kuangalia hilo Ronaldo lazima angeshinda tuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Okocha ametrend vizuri tu
 
We nae, hii ni mchezaji bora wa premier league kwa mwezi...carabao, UEFA havihusiki hapa...
 
Hivi huyo Ronaldo kafanya lipi kumzidi MO mwezi uliopita?
 
Wengine tunalia mbona bruno fernandez hajapewa
 
mnatakiwa muelewe kuwa wamelenga mechi za ligii tu achaneni na carabao, UEFA Champions league kwa mwez September Ronaldo ana deserves
 
Shida yenu ni moja katika hii debate ya POTM, kwani hamjui kuwa kura ndiyo zinaamua mshindi?

Je, unayelalamika uliingia kwenye website ya PL kumpigia kura mchezaji unayedhani alistahili kushinda?

Sasa kama hukuchangia 10% ya kura za mashabiki usitegemee Maguire kumpigia kura Salah.
 
Salah robbed
Tulia dawa iingie vizuri.

Statistically wote kwa mwezi September wapo sawa masuala ya performance za uwanjani apart from attacking returns hayana msaada kwenye tuzo za wanaume watu wanaangalia namba. Sasa kwenye magoli wapo sawa ila kwenye kura Salah hawezi kumpiga bao Ronaldo. Ile 10% United fans + Ronaldo fans wameitendea haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…