Fafanua!Ni TAL
Huyo bibi damu za maelfu ya watu haziwezi kumuacha alale vizuri.Fafanua!
Waulize wauwaji, Nini hutokea wanapofumba macho kujaribu kupata usingizi.Mmeanza kutathimini hadi uzuri wa singizi za watu... Na wake/waume zao wafanyeje??
Takataka
Aongezewe ulinzi asijejimaliza mwenyewe.Huyo bibi damu za maelfu ya watu haziwezi kumuacha alale vizuri.
Hata kungu na konyagi zinabuma sasa
Ukiwaangalia usoni Lissu na Samia utajua nani hupata usingizi na nani hapati.inawezekana huyo wa kwanza akawa analala usingizi zaidi tena wa fofo, ...
SI kweli,SIASA SIO TANZANIA DUNIANI KOTE IS NOT FOR HEART FAINTED
Ukiwaangalia usoni Lissu na Samia utajua nani hupata usingizi na nani hapati.
Nuru usoni ni kiashiria tosha.
Siasa ni Kazi ngumu mandela amekaa jela miaka mingapi?SI kweli,
Mbona Mandela haikuwa hivyo?
Tiss uchwara naona unajianika Ertugrul BeySIASA SIO TANZANIA DUNIANI KOTE IS NOT FOR HEART FAINTED
Alijuta kukaa gerezani?Siasa ni Kazi ngumu mandela amekaa jela miaka mingapi?
HakunaSalaam!
Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku?
1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali?
2. Ni Tundu lissu aliyeko gerezani ambaye analala jirani na chemba kuu ya gereza?
Nawasilisha [emoji120]
Kijana LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU FAMILIA INAKUTEGEMEATiss uchwara naona unajianika Ertugrul Bey
Hakuna Nini?Hakuna