gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Pitia thread zanguKatika wadau humu jf ambao wakianzisha thread itakosa wachangiaji,
U namba moja .
Pitia thread zanguKatika wadau humu jf ambao wakianzisha thread itakosa wachangiaji,
U namba moja .
Mandela alihukumiwa tofauti na lisuSiasa ni Kazi ngumu mandela amekaa jela miaka mingapi?
Kama kuna aliyechangia Uzi wako,Pitia thread zangu
Mfungwa mpaka ana nenepa na ananawailiSalaam!
Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku?
1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali?
2. Ni Tundu lissu aliyeko gerezani ambaye analala jirani na chemba kuu ya gereza?
Nawasilisha 🙏
kikubwa ni amani ya moyo mkuu,kwa hali ya kawaida kwa mwanadamu huwezi kuwa na amani kama umekatisha maisha ya maelfu ya watu na ndugu zao wanakuzonga usiku na mchana huo usingizi utaupataje,tundu lissu hana deni na mtu hajaua mtu nafkiri kwa vyovyote ana amani ya moyo na usingizi anapata ndiyo maana hata akija mahakamani unaona ni mtu mwenye afya na tabasamu ukikosa usingizi lazima ukonde.Salaam!
Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku?
1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali?
2. Ni Tundu lissu aliyeko gerezani ambaye analala jirani na chemba kuu ya gereza?
Nawasilisha 🙏
hicho ni kiburi cha punzi ya bure ambayo ni mali ya Mungu kuna askari wamafariki songwe leo je walikuwa kwenye maandamano?KIDDING ZILE FAMILIA ZA KENYA MWAKA 2007 ZILIZOULIWA JE NDUGU ZAO WANAISHI VIZURI*
NO BODY IS HERE TO SECURE UR LIFE
LINDA UHAI WAKO FAMILIA INAKUTEGEMEA NA KUKUPENDA USIFATE MKUMBO KIJANA KUWA MZALENDO WA MAISHA YAKO
WE ENDELEA KUTUMIA IMANI SEHEMU UNAYOBIDI KUTUMIA AKILIhicho ni kiburi cha punzi ya bure ambayo ni mali ya Mungu kuna askari wamafariki songwe leo je walikuwa kwenye maandamano?
Naimagime anavoteseka usiku na mchana !
Bila kupiga K Vant na kupuliza skanka hawezi kupata usingizi yaani sasa hivi ameshakuwa tejaKuna kiumbe hatari kinaishi maisha magumu sana pamoja na kuzungukwa na walinzi wa kila aina. Ni vile tu kinajitahidi kutaka kuiaminisha dunia kama kiko sawa. Ila ukweli kinaujua chenyewe.
Mwili mzima amejaa chale za waganga toka Nigeria lakini wapi jinamizi linamuandama 24/7Naimagime anavoteseka usiku na mchana !
Bila shaka kapungua kilo zakushatro!