gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Jaribu kulala chooniSalaam!
Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku?
1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali?
2. Ni Tundu lissu aliyeko gerezani ambaye analala jirani na chemba kuu ya gereza?
Nawasilisha 🙏
Alijuta kukaa gerezani?
Alikosa kulala usingizi kwa kuwa gerezani kwa kupigania haki?
Familia yangu imekubali nijitoe sadaka. Watakaobaki wataishi vyema baada ya mimi kuuliwa na serekali iliyoko madarakani bila ridhaa ya umma.Kijana LINDA UHAI WAKO KATAA MAANDAMANO KATAA VURUGU FAMILIA INAKUTEGEMEA
Jibu ni moja simba , jamani tuseme ukweli ,hakuna jambo zuri , kama kutawala ukijua umechaguliwa kihalali japo sio wananchi wote ,raha sana.Ni TAL,
Huyo bibi damu za maelfu ya watu haziwezi kumuacha alale vizuri.
Hata kungu na konyagi zinabuma
KIDDING ZILE FAMILIA ZA KENYA MWAKA 2007 ZILIZOULIWA JE NDUGU ZAO WANAISHI VIZURI*Familia yangu imekubali nijitoe sadaka. Watakaobaki wataishi vyema baada ya mimi kuuliwa na serekali iliyoko madarakani bila ridhaa ya umma.
Kile kichanga kilichopigwa risasi kikiwa kitandani,KIDDING ZILE FAMILIA ZA KENYA MWAKA 2007 ZILIZOULIWA JE NDUGU ZAO WANAISHI VIZURI*
NO BODY IS HERE TO SECURE UR LIFE
LINDA UHAI WAKO FAMILIA INAKUTEGEMEA NA KUKUPENDA USIFATE MKUMBO KIJANA KUWA MZALENDO WA MAISHA YAKO
Kwani familia za waliofia vitani Uganda ni mabilionea sasa hivi? Maisha yangu hayana maana iwapo naishi kwa kuwekewa kiongozi, mtoto, rafiki na ndugu wa kiongozi kunitawala bila ridhaa ya umma.KIDDING ZILE FAMILIA ZA KENYA MWAKA 2007 ZILIZOULIWA JE NDUGU ZAO WANAISHI VIZURI*
NO BODY IS HERE TO SECURE UR LIFE
LINDA UHAI WAKO FAMILIA INAKUTEGEMEA NA KUKUPENDA USIFATE MKUMBO KIJANA KUWA MZALENDO WA MAISHA YAKO
Siasa ni Kazi ngumu mandela amekaa jela miaka mingapi?
SIASA SIO TANZANIA DUNIANI KOTE IS NOT FOR HEART FAINTED
Familia ya odinga ni masikini ?Kwani familia za waliofia vitani Uganda ni mabilionea sasa hivi? Maisha yangu hayana maana iwapo naishi kwa kuwekewa kiongozi, mtoto, rafiki na ndugu wa kiongozi kunitawala bila ridhaa ya umma.
Irrelevant.Familia ya odinga ni masikini ?
(ISAIAH 48:22)..Mama Abduli analala wa pono.
..moja, ni kwasababu haelewi maana na madhara ya matendo yake.
..pili, hawajali waathirika wa maamuzi na matendo yake.
Itakuwa mkeo ana mchepuko anataka ukiwa Kwa futi sita aufaidi utamu 🤣🤣🤣Familia yangu imekubali nijitoe sadaka. Watakaobaki wataishi vyema baada ya mimi kuuliwa na serekali iliyoko madarakani bila ridhaa ya umma.
Labda aongeze mwingine, lakini najua anaye mchepuko tayari. Una lingine kwa msaada zaidi?Itakuwa mkeo ana mchepuko anataka ukiwa Kwa futi sita aufaidi utamu 🤣🤣🤣
Katika wadau humu jf ambao wakianzisha thread itakosa wachangiaji,Jaribu kulala chooni
Samuya kila akilala akifumba macho tu anamuona Mzee Ali Kibao anamjia, akigeuka anamuona Mdude Nyagali akigeuka tena anamuona Humphrey Polepole, hana amani kabisa huwezi ukamwaga damu za watu wasiokuwa na hatia na ukabaki salama hata siku moja.Salaam!
Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku?
1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali?
2. Ni Tundu lissu aliyeko gerezani ambaye analala jirani na chemba kuu ya gereza?
Nawasilisha 🙏
Unachekesha,Mimi ni fan wa Tundulisu, lakini tuwe wakweli ni heri kulia Ikulu kuliko kucheka jela!
Free Tundu