Kati ya Samia na Tundu Lissu, nani anayepata usingizi nzuri wakati wa usiku?

Mfungwa mpaka ana nenepa na ananawaili
 
kikubwa ni amani ya moyo mkuu,kwa hali ya kawaida kwa mwanadamu huwezi kuwa na amani kama umekatisha maisha ya maelfu ya watu na ndugu zao wanakuzonga usiku na mchana huo usingizi utaupataje,tundu lissu hana deni na mtu hajaua mtu nafkiri kwa vyovyote ana amani ya moyo na usingizi anapata ndiyo maana hata akija mahakamani unaona ni mtu mwenye afya na tabasamu ukikosa usingizi lazima ukonde.
 
KIDDING ZILE FAMILIA ZA KENYA MWAKA 2007 ZILIZOULIWA JE NDUGU ZAO WANAISHI VIZURI*

NO BODY IS HERE TO SECURE UR LIFE

LINDA UHAI WAKO FAMILIA INAKUTEGEMEA NA KUKUPENDA USIFATE MKUMBO KIJANA KUWA MZALENDO WA MAISHA YAKO
hicho ni kiburi cha punzi ya bure ambayo ni mali ya Mungu kuna askari wamafariki songwe leo je walikuwa kwenye maandamano?
 
hicho ni kiburi cha punzi ya bure ambayo ni mali ya Mungu kuna askari wamafariki songwe leo je walikuwa kwenye maandamano?
WE ENDELEA KUTUMIA IMANI SEHEMU UNAYOBIDI KUTUMIA AKILI
 
Kuna kiumbe hatari kinaishi maisha magumu sana pamoja na kuzungukwa na walinzi wa kila aina. Ni vile tu kinajitahidi kutaka kuiaminisha dunia kama kiko sawa. Ila ukweli kinaujua chenyewe.
 
Wananchi wanaulizia aliko,

Wakati huo huo, kaka wa Pole Pole naye amtafuta.
 
Kuna kiumbe hatari kinaishi maisha magumu sana pamoja na kuzungukwa na walinzi wa kila aina. Ni vile tu kinajitahidi kutaka kuiaminisha dunia kama kiko sawa. Ila ukweli kinaujua chenyewe.
Bila kupiga K Vant na kupuliza skanka hawezi kupata usingizi yaani sasa hivi ameshakuwa teja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…