Kati ya Sawadogo na Mudathiri Yahya ni usajili uliolipa zaidi?

Kati ya Sawadogo na Mudathiri Yahya ni usajili uliolipa zaidi?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Naaaam, baada yakumaliza ubishi Kati ya Kennedy musonda na Jean claud van Damme wa kongo yaani baleke. Sasa tutizamie Nani fundi wa mpira Kati ya Sawadogo na Mudathiri pale dimba la Kati?

Simba wamelamba dume au yanga wamelamba dume??

Ni usajili gani umelipa Kati ya Sawadogo kwa upande wa simba na Mudathiri yahya kwa upande wa yanga.

Nini maoni yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Nimeshindwa hata kusoma habari yako kwa ulichoandika kwenye heading
 
Machawa wa Simba wanapita kwenye huu uzi kimyakimya Kama wanaaga maiti [emoji41]
 
Back
Top Bottom