Kati ya Serikari na Kanisa, ni nani amtii mwenzake?

Kagame kashaanza huko
 
Dini ni 'tool' iliyotumiwa na bado inatumiwa na watawala kulegeza mioyo ya watawaliwa (kuwapumbaza) kwa 'matumaini hewa 'ili watawalike kirahisi.

Ndiyo maana kwenye historia ya civilizations mbalimbali, spiritual leaders mara karibia zote wamekuwa machawa wa watawala.

Dini hutumia vitisho vya kuchomwa moto na kutoa ahadi nyingi za dhahania kwa wote wasioheshimu sheria za Mungu/miungu..
Lakini sheria na taratibu hizo ziitwazo za Mungu walipitisha watu wa dini na watawala katika meza moja.

Labda wabongo walioletewa tu hayo mavitabu ya dini ndiyo hawajui kwamba wanchokiamini kama pure neno la Mungu ni maandiko ya watu walikuwa na influence na nguvu huko mbele..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…