MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube.
SHILOLE
1. Lawama
2. Nakomaa na jiji
3. Ukintekenya
4. Chuna buzi
5. Nikagongee
6. Paka la bar
7. Sitaki mazoea
8. Amsha popo
9. Pindua meza
10. Mama ntilie
JUX
1. Nitasubiri
2. Lucky now
3. Sing for you
4. Mapepe
5. I love you
6. My mind
7. Kitanda
8. Nidhibiti
9. Simuachi
10. Only you I see
Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube.
SHILOLE
1. Lawama
2. Nakomaa na jiji
3. Ukintekenya
4. Chuna buzi
5. Nikagongee
6. Paka la bar
7. Sitaki mazoea
8. Amsha popo
9. Pindua meza
10. Mama ntilie
JUX
1. Nitasubiri
2. Lucky now
3. Sing for you
4. Mapepe
5. I love you
6. My mind
7. Kitanda
8. Nidhibiti
9. Simuachi
10. Only you I see