kati ya sigara na mchaga nani anatoka moshi

kati ya sigara na mchaga nani anatoka moshi

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
naomba mwenye jibu sahihi anijibu
 
Hivi wewe si ndo jana ulikuja na habari za kumtia demu wako bakora 6? Leo umekuja na hii? Ni dhahiri ya jana pia ilikua ni udaku!
 
Hivi wewe si ndo jana ulikuja na habari za kumtia demu wako bakora 6? Leo umekuja na hii? Ni dhahiri ya jana pia ilikua ni udaku!

hakuna udaku hili ni jukwaa la utani jana ni true story ndugu kesho nina game tena subiri feedback
 
Sigara iliyowashwa inatoa moshi ila mchaga katokea eneo linaloitwa moshi
 
Back
Top Bottom