Kati ya simu na fedha kipi kinaongoza kuvunja mahusiano/ndoa?

Kati ya simu na fedha kipi kinaongoza kuvunja mahusiano/ndoa?

vyote tu babu

simu kwa nafasi yake

na helaaaa kwa nafasi yake

Sent from my Iᴩʜᴏɴᴇ 11 Pro using JamiiForums.com mobile app
 
sim inaharibu mahusiano daily bt pesa mara moja moja
 
simu inaharibu vp mahusiano apo ndo sijaelewa
 
Back
Top Bottom