Prince kelly
Member
- Aug 29, 2017
- 43
- 44
Hellow habari, nisiwachoshe direct niendee kwenye point . Nilikuwa na my girlfriend tukawa na mahusiano tumpatie jina prisca ambayo nilidumu nae almost 3 years kwenye relationship ukweli nilimpenda Ila alikuja nisaliti kwa mshikaji mmoja akampiga na mimba juu akanimwaga chini kwa madharau na kejeli.
Aliponiachaa niliumia balaa maana nilimpenda Na ndie alikuwa msichana Wangu wa kwanza na nilikuwa na dream nae tukaachana. Apo takribani mwaka Mpaka akajifungua mtoto wa kike Mimi kweli iliniwia vigumu kumsahau Ila nikaja mpata another girlfriend nikiwa chuo tumuite linda , so far Linda tulianzisha mahusiano tukapendana sasa nilipokuwa nakaribia maliza chuo prisca akawa ananitafuta akinammbia amejuta kuniachaa na anataka kurudiana nami eti jamaa ake aliemzalisha awaelewani so wameachana Anaomba nafasi turudiane…
For that time apo nilikuwa nipo na uyu girlfriend linda alikuwa annipenda ila kutokana nilikuwa bado nampenda first girl nikajikuta nipo nao wawili sasa nikawa nashindwaa nibaki na yupi maana x alipo rudi amekuja nigandaa ataki nipa space kabisa so am in dillema which to choose I need advice