Kati ya single maza mwenye chura na mschana mdogo nimuoe nan???

Kati ya single maza mwenye chura na mschana mdogo nimuoe nan???

Safari yako ya ndoa ni fupi kama Mwala. Ktk kutafuta mwenzi wa maisha yako yaliyobakia hapa duniani unaangalia chura!! Nakushauri uache mpaka ukue na ujue nini maana ya safari ya ndoa na maisha, utoto ukishakutoka na kujitambua ndio ufikirie kuoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usishangae wengine huwa wanaoa usingizini kabla ya kupost au huwa wanasahau kuwa wameshapost!

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
Kwa hiyo alioa usingizini?
 
Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!

Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!

NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau naomben msaada wenu wa kimawazo
Ungeweka picha zao hapa kwanza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo alioa usingizini?
Alioa usingizini then akasahau kuwa ameshapost uzi kuwa ameoa, hivyo leo kapost tena kuomba ushauri

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Alioa usingizini then akasahau kuwa ameshapost uzi kuwa ameoa, hivyo leo kapost tena kuomba ushauri

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]

Hhahahahahahhh
 
Maswali mengine ya kitoto kabisa. Huyo maza mwenye chura hujui kuna siku naye alikuwa mwembamba ka huyo msichana?? Wenzio tukamlisha vizuri hadi chura likatokea. Kwetu wana kamsemo; Usione vyaelea, viliundwa!!!! Huyo single maza alikuwa mwembamba sana ila baada ya kulishwa vizuri na huyo aliyemtotolesha ndo akapata hilo lichura.
Muoe huyo msichana nawe ukaanze mwenyewe chako wala isitamani "Used"
 
Hakuna sababu inayoweza kujustify kumuacha mwanamke mwenye chura.. Hata kama umemfumania, unamsamehe ili uendelee kufaidi.
To conclude, ni bora ubebe SM!
 
Unaowa kwaajili yako ama unawaolea ndugu zako?watu bhana...

Back
Top Bottom