Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Fuata moyo wako we ndio unauwamuzi maisha ni yako nasio ya ndugu zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafunzi wanatusumbua sana,
Vip kuhusu changamoto za mahusiano ya kimapenz na mzaz mwenzie?? hebu nifafanulie mkuu!!Oa hako kasichana ka 19 kakutoe jasho.. vitoto vya sasa ivi vinawaza kupost insta tuu.
Utarudi upost uzi wa manyanyazo kesho tuu.
Mwananke aliye zaa hana zaidi ya kumtunza mtoto na mume wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
NotedMaskini single mother keshakuzalia umuache ni mwanaume nani atafikiria single mother mwenye watoto wawili wa baba tofauti?! Bora mwenye mtoto mmoja. Umemzalisha halafu umponde eti single mother wakati usingle mother umemwongezea wewe?! Ufuate msichana mdogo ye ndo anataka mwanaume alozaa na mwanamke mwingine?! Oa mwanamke ulomzalisha, Ndugu wanamaisha yao usiwashilikishe kwenye maamuzi ya maisha yako
Wewe weeee ogopa laana yaani mtu kakuzalia unaoa pengine acha dhambi mwoe single motherNipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!
Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!
NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau naomben msaada wenu wa kimawazo