Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.

Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.

Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma
Ninavyo elewa mimi spika angewasimamisha kuhudhuria vikao vya bunge hawa wabunge 19 mpaka pale mahakamu kuu itakapotoa maamuzi .......over
 
Ninavyo elewa mimi spika angewasimamisha kuhudhuria vikao vya bunge hawa wabunge 19 mpaka pale mahakamu kuu itakapotoa maamuzi .......over
Angewaondoa bungeni. Halafu wakishinda kesi wanarudishwa.
 
Back
Top Bottom