Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

Mkuu kuna taratibu na sheria za kwenda huko bungeni na chama ndicho kinatakiwa kufanya huo mchakato na sio taasisi nyingine ifanye kwa niaba ya chama flani.

Why chama kinagomea nafasi ambayo ni haki Yao? Kama hawataki nafasi yoyote then why walipeleka watu kugombea ubunge
 
A93AE030-7783-4874-BB20-B052421A9558.jpeg

8520012C-7610-44C9-B55B-29E70D7607B0.jpeg

6DF6FAC5-2153-47CD-8BC9-1BAA1B02F88A.jpeg
 
Uongo waitishe mkutano mkuu hata kesho hakuna wa kupinga sio msajili wala yeyote

Toeni notice magazetini au radioni au TV kuwa MNA general meeting muone kama kuna mpingaji
Endelea kujifanya huelewi tuu, acheni kutumia polisi
 
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.

Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.

Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma
Wewe unapindisha maneno ya Msekwa; yeye alisema kinadharia kuwa iwapo walifukuzwa uanachama (na ikathibitika kwa tume ya uchaguzi kuhusu kufukuzwa huko), basi hawana uhalali wa kuwepo Bungeni kwa mujibu wa katiba. Aliposema hivyo yeye hakuwa na documents zinazothibitiiha kuwa kweli walishafukuzwa uanachama. Hizo longolongo za Mnyika mbele ya waandishi kutafuta attention siyo zinazoongoza tume ya uchaguzi na Bunge.
 
Hiyo " iwapo" kila mtanzania anajua!
 
Walifukuzwa na kigenge cha watu wachache wanaojiita kamati kuu akina Mdee wakapinga kufukuzwa huko wakapeleka rufaa baraza kuu hadi Leo baraza kuu halijakaa

Katiba ya Chadema imeweka wazi taratibu za MTU kufukuzwa uanachama kuwa process itakamilika mkutano mkuu .Swala LA akina Mdee process haijakamilika.Baraza kuu halijakaa kuridhia na mkutano mkuu haujakaa kuridhia in mpaka hapo baraza kuu na mkutano mkuu utakapokutana na kuridhia ndipo wale watahesabika wamefukuzwa uanachama

Nenda kasome katiba ya chadema kuhusu kazi za baraza kuu na mkutano mkuu
 
Mtu aliyeshiriki kuiba kura ni lazima autetee uovu.
 
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.

Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.

Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma
Tulia mwenyewe siyo halali kuwa bungeni
 
Walifukuzwa na kigenge cha watu wachache wanaojiita kamati kuu akina Mdee wakapinga kufukuzwa huko wakapeleka rufaa baraza kuu hadi Leo baraza kuu halijakaa

Katiba ya Chadema imeweka wazi taratibu za MTU kufukuzwa uanachama kuwa process itakamilika mkutano mkuu .Swala LA akina Mdee process haijakamilika.Baraza kuu halijakaa kuridhia na mkutano mkuu haujakaa kuridhia in mpaka hapo baraza kuu na mkutano mkuu utakapokutana na kuridhia ndipo wale watahesabika wamefukuzwa uanachama

Nenda kasome katiba ya chadema kuhusu kazi za baraza kuu na mkutano mkuu
We inaijua katiba ya CHADEMA kuliko CHADEMA wenyewe? shame on you
 
Vile ni viti maalum halali Kwa chama cha chadema na waliokwenda walikuwa ni wanawake wa chadema sasa shida yako nn?
Watz siyo maamuma kama mnavyofikiria ipo siku tena haiko mbali kama mnavyofikiria mtawaelewa ni watu wa aina gani.
 
Wataalamu wa haya mambo na well wishers wa nchi hii wanajua tulipofika palivyo pagumu.

Kulinganisha hawa watu wawili ni sawa na kulinganisha mbingu na ardhi, ndio maana wanasema kwa sasa "mtu amepata kiti lakini kiti hakijapata mtu"
 
Mbona hamjadili sababu ya wao kufukuzwa?
Pamoja na kuwa sababu zinajulikana lakini suala ni irrelevant, la muhimu ni kuwa wameshafukuzwa uanachama hivyo si wanachama wa CHADEMA regardless the reasons zilizowafukuzisha.
Swali linabaki palepale, wanakuwaje bungeni ila si wanachama wa chama chochote cha siasa kwa sasa.
 
Lakini mtu huyo huyo Msekwa ndie alitengeneza katiba hiyo inayolalamikiwa, hata Mwl.Nyerere baada ya kustaafu alitambua kuwa ni bomu.
Na kwa heshima yake, pale Law School of Tanzania, kuna ukumbi unaitwa Pius Msekwa
 
Why chama kinagomea nafasi ambayo ni haki Yao? Kama hawataki nafasi yoyote then why walipeleka watu kugombea ubunge
nani kakwambia chama kimegomea nafasi kwani lazima hao kina kovid ndio waende chadema kuna wanawake wengine zaidi ya hao kovid
 
Aaah so ishu sio kupokea nafasi ishu ni Nani ameenda okayy, Yan ww sasa ndio umetufungua,

Kumbe ni kweli mlitaka kupeleka madem zenu na wake wa viongozi wenu

Hiyo ndio sababu ndugai aliwaacha covid
 
wewe mpumbavu kuna utaratibu wa kuteua wabunge kwenda kuwailisa viti maalumu kupitia vikao vya bawacha, nyie maccm vipi hamjirekebishi tu pamoja na TWAWEZA kuwaambia ukweli kwamba ni mapumbavu
 
Back
Top Bottom