Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

Kati ya Spika mstaafu Pius Msekwa na Spika Dkt. Tulia nani anasema ukweli kuhusu Ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18?

Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.

Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.

Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma
Anayesema ukweli ni Spika Tulia, maana Msekwa siyo Spika, bali ni spika aliyekwisha kustaafu!
 
Hata tungesema kila kitu anachosema Mzee Msekwa ni sahihi, strategy ya CHADEMA ni ya kimbumbumbu sana!

Hakimu au judge akishaamua kesi fulani ndiyo imetoka. Kama hujaridhika, unapaswa kukata rufaa kwenye mahakama ya juu yake. Sio unasubiri hakimu au judge (kwenye ile ile mahakama iliyoamua hiyo kesi) abadilike ili wewe ufufue tena kesi yako pale. That’s nonsense!
Ok chadema wapeleke kesi mahakanani kama wanaona msajili au bunge wamekosea kuwakubali akina mdee
 
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.

Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.

Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?

Maendeleo hayana vyama!

Pia soma
Mbona hili liko wazi Msekwa katoa sababu ya kikatiba kwamba mbunge akifukuzwa na chama chake hawezi mbunge kwa namna yoyote.
Sasa Tulia kasema kuwa hakuna uharamu na wanasubiri mchakato. Kivipi wakati wamefukuzwa.
Ina maana chadema wakipeleka tena wataondolewa...
Kimsingi hawa walikingiwa kifua kibabe na sioni sababu ya CDM kurudia mchakato. Wakae tu..
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mkutano mkuu utaamua mwaka ambao watakutana coz now hawana ela ya kuita wajumbe wa inchi mzima
Ok mimi CCM nasubiri hayo maamuzi yenu ya mkutano mkuu mtajijua mtafanya lini

Vinginevyo kwa mujibu wa katiba yenu Chadema akina mdee bado wanachama wenu
 
yep maana kila wakijaribu kukaa mnawapiga na kufunga viongozi wao, CCM ni janga
Uongo waitishe mkutano mkuu hata kesho hakuna wa kupinga sio msajili wala yeyote

Toeni notice magazetini au radioni au TV kuwa MNA general meeting muone kama kuna mpingaji
 
Sheria ya nn
CCM mnaita sheria kama inawafaa so hakuna cha maana hapo fanyeni tuu mnachotaka, bila aibu Mbowe alivyotaka kugombea uraisi mkakimbia kuweka kipengere cha degree, mnaogopa nini?
 
Kwanza mchakato wa kuwapa viti maalum haukuwa sahihi. Maana Kuna wagombea was viti maalum na wagombea was majimbo. Wengi walioenda huko ni wagombea wa majimbo na sio viti maalum.

Pia chama huwa kina peleka orodha ya majina ya wagombea viti maalum lakini Hawa hawakuwepo kwenye oridha. Pia chama kiliwafuta uanachama baada ya kwenda kinyume na msimamo wa kutotambua matokeo ya uchaguzi mkuu.
Kilichofanyika kwenye barua ya Ndugai kujiuzulu ndicho kilichofanyika kwa hao wabunge
 
Speaker Msekwa yuko sahihi na ni kwa mujibu wa Katiba yetu. Tulia ni extended arm ya waliowaweka kina Halima. Kwa wanaccm usiwashangae jambo moja likipewa tafsiri tofauti. CCM Sio chama cha kutenda haki. Ni dhuluma , uwongo, ubabe, uvunjaji wa Katiba na sheria, nk nk. Ni Chama kilichofikia mwisho ki upeo. Sasa Tulia dada mdogo anakuwa mwongo bila aibu kama baba zake wakubwa ndani ya Chama? Sad for my country Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hahaha but ngoja tujadili this thing

Vile viti maalum ni halali Kwa chadema hapo tunakubaliana,

Sasa kama ni halali Kwa chadema kuna kosa gani Kwa mtu kama mdee, bulaya na wengine kwenda bungeni? Coz zile nafasi ni zao
Mkuu kuna taratibu na sheria za kwenda huko bungeni na chama ndicho kinatakiwa kufanya huo mchakato na sio taasisi nyingine ifanye kwa niaba ya chama flani.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Vile ni viti maalum halali Kwa chama cha chadema na waliokwenda walikuwa ni wanawake wa chadema sasa shida yako nn?
Tumia AKILI hata za kuku naona Mada umerukia kwa mbele kwani kuna Mtu anataka Viti maalumu waende WANAUME? au Ubongo umechotwa Wote
JamiiForums1980995331.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Dr wa n

Dr wa mirathi ananizidi Nini? . Shida mnaogopa title isiyokuwa na lolote. Tuna madoctor wangapi wameandikiwa thesis?.

Kuwa doctor haimanishi anajua kila kitu. Mambo mengi yanamshinda. Doctor mzima utasemaje unasubiri mchakato wa chama wakati chama kilishawavua uanachama?. Walitakiwa kusubiria Rufaa wakiwa nje ya bunge na sio ndani ya bunge maana sio wanachama.
Sahihi kabisa,Dr hata msukuma anao.Waseme tu waliwaingiza kihuni ndio maana wahariri huwa wanauliza hili swali kila Mara.Pia ifahamike kuwa wapo waandishi wa habari waliosoma sheria
 
Wameshakata rufaa kwenye kamati kuu Yao, and kamati kuu haijakaa mpaka Leo kuamua rufaa Yao so mpaka kamati kuu ikikaa na kuamua ndio mambo ya mahakamani yatafuata
Basi si wabunge wa CHADEMA mpaka hapo rufaa yao itakaposikilizwa na wao kushinda rufaa hiyo na kurudishiwa uanachama wao.
 
Basi si wabunge wa CHADEMA mpaka hapo rufaa yao itakaposikilizwa na wao kushinda rufaa hiyo na kurudishiwa uanachama wao.

Mbona hamjadili sababu ya wao kufukuzwa?
 
Back
Top Bottom