mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
dogo soma hata open, ili mradi ukaze uzi, ila jamani waalimu na bidii zao inalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Narudia kusema,udsm level yake sio hvi vijivyuo kama muccobs,saut,ifm au mzumbe.udsm inapambanishwa na vyuo kama cape town,makerere,cairo na nairobi.
HOPE udsm is the best of all.!! Hata ukimuuliza mzee yeyote alioko kijijini kwenu swali kama hili bila kusita atakuambia ni "MLIMANI" So udsm is the best Followed by hurbert kahiruk then vingne vinafuata..kwa uthibitisho zaid nenda google then u search the best universty in africa.. Then utapata majibu
Kwi kwi kwi ha ha ha,udsm imebaki jina,hakuna kitu...tunataka watu compitent,angalia graduates wa IAA na IFM kwny,mfano accounts walivyo wakali!huwez kulinganisha udsm kamwe
Kiukweli cku hiz tunaweza shindwa tambua ni kipi bora kwa 7bu wa2 wamekuwa wachakachuzi mnoo maana ubora wa chuo hua tunangalia gradates wake wanakuwa vp makazini kiutendaji na uwezo wa kudeal na mambo ya kiofc, maana kuna wa2 wanatoka vyuo na GPA kali xana lkn mpeleke field utacheka mfano kwa wale wa ICT m2 unakuta ajui ata kufanya troubleshoot hajui ukichek GPA ana 4.5+ sasa hapa kuna ubora gani au m2 ata kufunga RJ hajui xaxa kaxoma nn huyu mtu na hiki chuo utasemaje ki bora huku kinatoa mambumbu?? Hapa inabidi tuangalie zaid graduates wa chuo husika ndio tuseme hiki bora au hiki si bora kuringasha na kile.
Kwi kwi kwi ha ha ha,udsm imebaki jina,hakuna kitu...tunataka watu compitent,angalia graduates wa IAA na IFM kwny,mfano accounts walivyo wakali!huwez kulinganisha udsm kamwe
mtabishana mwisho wa siku soko la ajira na mtu mwenyewe ndiye ata determine nani mkali. Bishaneni tu endelea kubishana mkishamaliza njooni mtaani ndiyo mtajua kipi chuo bora...
mkuu si ulisema uko 4th year pale coet sasa phd umeitoa wapi????chuo bora ni UDSM nyie mnaosema ubora ni kichwa na divisheni zenu mbovu udsm mtaisikia bombani, udsm ni namba moja east africa sio tu tanzania. achana na hawa vilaza wa ifm, mzumbe, udom, suo(vilaza sugu), kairuki. i have a PHD in MATHEMATICS, FROM ABROAD
[TABLE="width: 745, align: center"]wan jf ninaomba michango yenu juu ya hilo la ubora wa hivyo vyuo hapo juu na sababu ya ubora wake il tukat mziz wa fitin
[/TD]
> Africa > Universities in Tanzania
[/TH]
[/TH]
[/TH]
[/TD]