Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
- Thread starter
- #141
Hivi na wewe uko Chuo Kikuu? Arguments zako zimenistua. Kha!
Mkuu ulitaka aandike nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na wewe uko Chuo Kikuu? Arguments zako zimenistua. Kha!
mkuu umekosea chuo cha kwanza kuanzishwa ni 1.UDSM (1961)2.USHIRIKA (1963), 3.IFM(1972 KILIANZISHWA NA N.B.C), 3.IDM MYUMBE 4.SUA (1984) ,5.OPEN UNIVERSITY(1992) , 6.TUMAINI(1997), 7.SAUT(1998 ) ,
Wewe Polisi soma hapo Ushirika kwa amani. Ukirudi kazini hawatakuuliza ulisoma wapi na kwa vyovyote hautakuwa kuruta tena. Hizi bidii za kulinganisha Ushirika na Vyuo Kikuu hazitakusaidia.
Mkuu umekosea ni chuo kikuu cha ushirika na stadi za biashara(MUCCoBS)
Acha kupotosha umma wewe,Chuo kikuu?
MUCCOBS sio chuo kikuu, ni chuo kishiriki cha SUA. Nitoe angalizo, kama hujui kitu ni bora kukaa kimya kuliko kuandika uongo humu jamvini utakao pelekea kupotosha watu.
Mkuu umekosea ni chuo kikuu cha ushirika na stadi za biashara(MUCCoBS)
Moshi University College Of Co-
operative & Business Studies
Acha kupotosha umma wewe,
Hujielewi mjinga wewe MOSHI UNIVERSITY COLLEGE OF COOPERATIVE AND BUSINES STUDIES ,, Ni Chuokikuu kishiriki cha SUA ,, Ndio maana MUCE ni chuokikuu kishiriki cha DSM
Umeongezeka nini ulivyotukana mkuu?
Hakuna mtu anae shindwa kutukana, jifunze ustaarabu unapokuwa kwa wastaarabu.