Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Wewe ni kabila gani?
Huko kwenu hakunaga roho mbaya?
Mpaka unarecomend mwenzio aende ina maana ulineemeka, na huwezi neemeka bila mahusiano mazuri na wenyeji, kama uliishi salama na kutoka salama panafaa kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai wote ni wazima na mnachukua hatua za kujihami na corona virus
Moja kwa moja kwenye mada, tusaidiane nataka kufanya maamuzi ya kuweka makazi ya kudumu kwenye moja ya miji tajwa hapo juu sasa ni mji gani unafaa zaidi kwenye nyanja tajwa bila kupuuzia other factors?
Sumbawanga nimeambiwa kuna plenty of food na kilimo ni uhakika pia inapakana na DRC kwahiyo biashara ipo na kuna mzunguko wa pesa na wakazi ni wakarimu japo kuna tishio la ulozi wa radi.
Singida nimeambiwa kumechangamka kibiashara kwa kuwa ni junction ya barabara kuu na jirani na mji mkuu wa serikali Dodoma.
Maeneo yote nayapenda maana nimewahi kuishi kipindi nasoma kwa nyakati na muda tofauti. Hali ya sasa ikoje na future ya miji husika inasomekaje?
karibuni kwa tips
Mpotezee katelezaWewe ni kabila gani?
Huko kwenu hakunaga roho mbaya?
Mpaka unarecomend mwenzio aende ina maana ulineemeka, na huwezi neemeka bila mahusiano mazuri na wenyeji, kama uliishi salama na kutoka salama panafaa kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiondoi ukweli wafipa wana roho mbayaWewe ni kabila gani?
Huko kwenu hakunaga roho mbaya?
Mpaka unarecomend mwenzio aende ina maana ulineemeka, na huwezi neemeka bila mahusiano mazuri na wenyeji, kama uliishi salama na kutoka salama panafaa kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajateleza wafipa wana roho mbaya sana na uloziMpotezee kateleza
Ardhi ya sumbawanga imechoka?!! Ambako watu bado wanaweza lima mazao bila mbolea na wakavuna?!! Sumbawanga mvua za wasiwasi?? Hujawahi ishi huko, mimi mkoa mzima wa rukwa, na katavi nimetembea, naweza kusema ktk mikoa ya TZ, ambayo bado ina ardhi nzuri ya kilimo ni hiyo, na mvua za uhakika.siamini kama vigezo ulivyotoa vinaweza kukusaidia kufanya informed decision. kwa mfano sumbawanga kuna ardhi ya kutosha. lakini kwa kiasi kikubwa imechoka. Halafu sumbawanga wana msimu mmoja wa mvua kwa hiyo, when you think of farming in sumbawanga, you need also to think on how you will be able to tap water. asikudanganye mtu, kilimo cha kutegemea mvua ni kilimo cha ujima.
hili la roho mbaya kwa wenyeji lipo mikoa yote kasoro pwani na dar es salaam ambako wenyeji wameuza maeneo yao na kukimbilia mbali.Wasukuma wengi wapo mpanda,Katavi.
Hiyo ya wenyeji kuwa na roho mbaya imekaaje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
bora anayeeleza ukweli anaweza kutoa nafasi ya kujisahisha lakini yeye kwao wakoje?Hajateleza wafipa wana roho mbaya sana na ulozi
that is history, the only place in rukwa where you need a minimal use of fertiliser ni bondeni kandokando ya ziwa rukwa. kwingine kote ni majanga. white wizard, ninajua ninachokiandikaArdhi ya sumbawanga imechoka?!! Ambako watu bado wanaweza lima mazao bila mbolea na wakavuna?!! Sumbawanga mvua za wasiwasi?? Hujawahi ishi huko, mimi mkoa mzima wa rukwa, na katavi nimetembea, naweza kusema ktk mikoa ya TZ, ambayo bado ina ardhi nzuri ya kilimo ni hiyo, na mvua za uhakika.
Lini hiyo, wakati mimi hadi leo kuna maeneo mengi wanalima bila mbolea, huko kote, kaoze, muze,,ambao. Ni ukanda wa ziwa rukwa, katavi ndio kabisa!! Asilimia karibu 80 halimaji mpunga hawajui mbolea kabisa, hiyo mikoa bado ina neema sana kwenye kilimothat is history, the only place in rukwa where you need a minimal use of fertiliser ni bondeni kandokando ya ziwa rukwa. kwingine kote ni majanga. white wizard, ninajua ninachokiandika
Sawasawa ndugu impongoHajateleza wafipa wana roho mbaya sana na ulozi
Ulikua unakaa manzese au tandale mjombaKuishi Dar labda maisha yanichagulie vinginevyo sipapendi kwa joto na uchafu na uwingi wa watu..Nimekaa huko miaka 4 kuanzia 2012-2016 saizi nikija ni kwenye shughuli maalum
Ulikua unakaa manzese au tandale mjomba
Hajateleza wafipa wana roho mbaya sana na ulozi
Ukweli usemwe kuna Rukwa,Kigoma,Katavi,Tanga na Lindi ulozi ndio jadi yao ila wafipa ndio the mostUlozi ukilingajisha na wapi?
Asikudanganye mtu kila sehemu ya Tanzania kuna watu wanaamini ushirikina vibaya mno.Msipende kugeneralise mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Okey but upi sasa kati ya hiyo ina ukuaji mzuri na future yake itakuwa vizuri?Kama una mtaji wa kutosha miji inayokua ni mizuri kufanya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Goba kwa DingiUlikua unakaa manzese au tandale mjomba