Kati ya supu zote unapendelea ipi?

ooohh dear
samahani sana mpendwa..
si wajua tena mie ndo lawyer maeneo haya..
kazi imenizidia dear hahahahahah lol

we waendeleaje mpendwa??

lawyer maeneo haya??isije ikawa Nanyumbu
 
ooohh dear
samahani sana mpendwa..
si wajua tena mie ndo lawyer maeneo haya..
kazi imenizidia dear hahahahahah lol

we waendeleaje mpendwa??
Dear,mpendwa,dear,mpendwa si muende ki-Youtube nasi tufaidi nyimbo ?
 
hahahah lol
sipendi kuchagua dear..
ni borea nionje vyote au yoyote..
halafu ndo ni choose ipi zaidi..
laikini bado ntapenda zote lol

Basi baada ya massage nitakutengenezea supu ya chaza............
 
Dear,mpendwa,dear,mpendwa si muende ki-Youtube nasi tufaidi nyimbo ?

mmmhh
eti kwanini mie nakuona kila thread niingiayo
hahahah lol..

mmhh au kitu ninayo mboza mbovu nini hahahha lol
 
supu ya konokono...unabisha kawaulize korean,chinese na japanise..watakwmbia ilivyo tamu.
 
Asante Mkuu....😛oa

hahahaha lol
naona Uporoto alikuwa busy siku ile
ku download nyimbo tulizokuwa tunarushiana dear
hahahaha lol

ndo maana anataka turudi you tube tena ..
mmmhh mnanipaga raha sana humu ..lol
 
Usijali nitakubembeleza..............
mmmhh sasa twaongea lugha moja
hahahah lol:clap2:

I'd still embrace it for I know that in between those thorns, there is a rose that's worth all the pain.

nimeipenda signature yako sana dear ..
katamu, kadogo , kametulia, lakini maneno yana vina vikubwa sana
 
Nimependa maneno yako matamu, nimepumbazwa na ucheshi wako. U made my day...

hahahaha lol
na shukuru
lakini mie utani kweli sijui.
hahaha lol

hayo ni maneno tu akili yangu inayotapika dear
hahahha lol:roll:
 
afrondezi umepotea? kunani?

mie niko kabisa mpedwa..
wewe ndo sijui umezamia wapi tena..
ulienda kuogelea nini ??

maana yale maji ya pela darajani mtu akizama
chini haoneka
jinsi yalivyo kuwa masafiiii ..
hahahahah lol

Vipi BB wangu u mzima lakini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…