afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
Basi umejaaliwa kipaji sio wote wemye akili kama yako............
mmhh wewe acha uchokozi basi ..
hahahah lol
ka waita hiki kipaji mmhhh basi una akili kama yangu dear hahahah lol:roll:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi umejaaliwa kipaji sio wote wemye akili kama yako............
hahahaha lol
naona Uporoto alikuwa busy siku ile
ku download nyimbo tulizokuwa tunarushiana dear
hahahaha lol
ndo maana anataka turudi you tube tena ..
mmmhh mnanipaga raha sana humu ..lol
Hata mimi niliburudika sana that was one of the best days in my JF Life....., Please Tuje Tukumbushie one of these days pick up where we left off...., ofcourse if you dont mind...na kama watu wenye thread zao hawatamind
Ama kweli hyo itakua bonge la supu ukinywa lazima miguu ilegee.Nyie wote mmepotea njia SUPU YA GOGO LA BUCHANI ile ndo mwisho wa yote, hasa liwe lina experience ya kama miaka 5 na zaidi maana nyama tofauti tofauti zimekatwa juu yake, sikui kikombe, sijui nundu sijui mbavu so ile mixer yake halafu lile gogo likachemswa huo mseto wake balaaaa hahahahahahahahahahahahahahah
More than you can imagine....., Kama ungeweza kuona tabasamu nililotoa, kusingekuwa na haja ya kuuliza, tawaomba JF waweke smilies zenye body language ya kuelezea furaha yangu sababu hii hainitendei haki:smile-big::smile-big::smile-big:mmmhh sikujua unapenda test yangu ya music kiasi hicho dear haahah lol
hamna neno kabisa mpendwa tutafanya tena ..
Supu ya maharage.
Supu ya maharagwe tena yakiwa mabichi then ukatia mawese duu utapenda
Husninyo maharagwe yapikwe na mtaalamu loh utapenda bwana.watu hawajua utamu wa supu ya maharage. Wanakimbilia supu za nyama.
Husninyo jina lako kila nikikutana nalo hapa jamvini roho yangu hupaa
Kumbe supu ya kisanvu noma eee!