Kati ya supu zote unapendelea ipi?


Mi na kisukari simo
 
Leo kwa mara ya kwanza nimekula supu ya ulimi. Asante Allah
 
Mi napenda supu ya utumbo
 
Supu ya mchicha, wengine wanaweka na carrot kidogo lakini kwangu hata mchicha na kitunguu tu inatosha tena ulewna chapati.
 
Supu ya kolofindo je umeshawahi kufyonza kile kichwa chake
 
Huyu alieifukunyua hii kitu Mungu anakuona 🤣😂2011
 
Supu ya Samaki nikiwa Mwanza tu

popote supu ya Kuku wa Kienyejii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…