Kati ya tako na sura unachagua demu wako awe na kipi?

Kati ya tako na sura unachagua demu wako awe na kipi?

Tundusami

Senior Member
Joined
Feb 7, 2026
Posts
116
Reaction score
270
Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
 
Of course reception kwenye guest ndo kila kitu, ila sasa mwili usiwe mbaya kiivo.
Kuna dem Mzuri kisura lakini kilema anatembea kama anadagi, utamchukua?

Cha muhimu vyote ni muhimu, dem Mzuri ni mwenye vyote au basi awe amebalance kote.
 
Mungu akupi vyote
 
Mi nachagua sura nzuri ,demu mwenye sura nzuri msafi nampenda sana kuliko yule mbaya ata kama ana tako kubwa.
Sasa hapo umeongeza vitu vingine mara msafi mara nini kwani wote hawawezI KUWA WASAFI.

CHAGUA MOJA MUNGU hakupi VYOTE.

MUNGU yupo
 
Mungu akupi vyote
Kuna wenye vyote mzee. ila wachache kiasi kwamba unaweza kufa hujampata.

Kwahyo realistically speaking Bora dem awe amebalance, ila hakuna cha muhimu juu ya kingine. Vyote vya muhimu.

Labda ungeuliza kati ya dem mwenye sura nzuri af shape ya kawaida tu , au mwenye sura ya kawaida ila shape kali yupo Mzuri.
 
1760246180052.jpg
you already know
 
Mwisho wa siku unono shimoni penyewe ni papoje na umetendewa niniiiiii 😅😅😅, kupelekwa dunia ya ulimwengu wa sayari isiyojulikanaaaaa ikawa inaonekana muda wa kazi.

..... Hata hayo yakiwemo

Eeeh napita tu...
unaonekana unayajua mambo
 
Back
Top Bottom