Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwa kifupi Bakwata hawakuongelea mkataba ila wai wa attack TECSwali hili litajibiwa kiitikadi zaidi ya uhalisia, lakini nadhani walikua na maoni tofauti,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi Bakwata hawakuongelea mkataba ila wai wa attack TECSwali hili litajibiwa kiitikadi zaidi ya uhalisia, lakini nadhani walikua na maoni tofauti,
itapendeza kama akiwa ni muislam, kawanyuka mpaka ndugu zakeHahahaha! Du! Hatari sana. Naona umepiga huku na huko!
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Hivi BAKWATA wametoa neno lolote jamani?Swali hili litajibiwa kiitikadi zaidi ya uhalisia, lakini nadhani walikua na maoni tofauti, TEC walitoa walicho amini kwamba mkataba haufai unatakiwa kuvunjwa na kuanza upya, lakini BAKWATA walikuja kuongelea maoni ya TEC na walikua kidini zaidi kuliko kujadili mkataba na kilichomo ndani
Acha ujinga,Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TICS.
Hawa TEC walikuwa wapi wakati majizi ya IPTL yalivyogawana pesa za, umma kama njugu, Rugemalila(mkatoriki na mtoa sadaka Sana) na, kina Tibaijuka.
TEC knachiwauma ni kunyanganywa, tonge mdomoni, walikuwa wanafaidika na majizi(makristo) kule bandarini.
Hawa bakwata, akili hakuna kwanza hawana elimu ya kutosha kuuelewa, mkataba, kinachowakereketa ni uislam na uarab.
Rais aliyepo muislam,wanaotaka kupewa bandari ni Arabs, mbele ya uarabu,WA Islam weusi ni kama mbwa kwa chatu, Hawa bakwata, wamejaa hisia za, dini,kuona muislam, mwenzao, anashambuliwa.
Nasema upewe maua yako such an unbiased mind.Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TIC.
Kuna wale wengine walisimamia Ubwabwa tu.😆😆Hello JF.
Katika purukushani za kusimamia ulinzi na usalama wa maliasili za nchi yetu, tulisikia hoja nyingi kutoka kila kona ya nchi.
Mojawapo ni ni mchapano wa Mabaraza haya mawili, Baraza la Maaskofu, TEC lililoleta hoja kali kinzani kwa serikali.
Pili, Baraza Kuu kabisa la Waislamu Tanzania nao wakatoa Neno lao la Hekma!!
Nini maoni yako juu ya matamko ya haya mabaraza mawili?