Kati ya TEC na BAKWATA, nani kasimamia vyema maslahi ya nchi katika sakata la DP WORLD?

Hivi BAKWATA wametoa neno lolote jamani?

Mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Hivi chuki hizi dhidi ya hii dini zitaisha lini?
 
Acha ujinga,
 
Wote wana agenda za Siri, TEC, wamekuwa wakipokea pesa za, "sadaka" Kutoka kwa mafisadi waliokuwa na tender bandarini waliorimuliwa, TIC.
Nasema upewe maua yako such an unbiased mind.

Ingekua watu wote tunatazama mambo hivi hii nchi ingefika mbali.
 
Kuna wale wengine walisimamia Ubwabwa tu.😆😆
 
Bakwata hawajawahi kuwaza wala kufukiria mambo kwa upana kuhusiana na masilahi ya waislam wala taifa wao wamewekwa kama bortion tu ili kuwapumbaza waisala, hao Tec nao akili zao zinawaza kulinda maslahi ya kanisa tu na sio kutetea maslahi ya nchi.Wote hatuna msaada nao kwa maslahi ya taifa hata wakifa kesho nchi haitapata hasara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…