permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Brazili kwa muda mrefu imekuwa na mpira mzuri wa kuvutia (samba), hata kama huipendi basi unakuwa na shauku ya kuona vile wanatandaza soka. Kwa tuliobahatika kumwona nabii wa mwisho wa soka, Ronaldinho, alipokuwepo tulikuwepo.Hizi ni timu za taifa za soka. Pana mtangazaji pale Clouds FM aitwae Lwambano, sijui utafiti huwa anaufanya vipi, yeye anaamini ligi ya England ndio inapendwa zaidi eti duniani na hii huwa anaisemasema.
Leo kaja na timu ya taifa ya England eti inapendwa. Kwa kweli kanichanganya na kujiuliza hivi Brasil inaionaje? Ukiachilia tu timu ya nchi yake yaani Tanzania?
England ni kama simba, ukimsikia Haji Manara akiongea, hutaamini timu anayoizungumzia haiweezi Prisons.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app