Vuta hio Brevis boss.Asante maana mi nataka Gari ya kudumu, mafuta sio ishu kama huna unatembea.
Kama uwezo wa kujaza wese ni uhakika komaa na brevis,sababu engine kubwa pia maana yake maisha marefu,hizi gari zenye engine ndogo maisha yake hua sio ya muda mrefu saana...
Mkuu inaonekana gari yako ulikua unaipenda sana maana sio mara ya kwanza naona unaitaja na kuisifia sana..
Pole sana, fanya uvute nyingine
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye maisha Yangu hata iweje sitaweza kununua IST,vitz na passo. Sisi wabongo ni watu wa kukariri Sana unakuta mtu ananunua Passo eti Kwa ajili ya kubana matumizi bila kujua engine yenye cc ndogo ni majanga na huwa haiwezi kuvumilia Safar ndefu.Kama uwezo wa kujaza wese ni uhakika komaa na brevis,sababu engine kubwa pia maana yake maisha marefu, hizi gari zenye engine ndogo maisha yake hua sio ya muda mrefu saana.
Kwa mtu anayetaka magari ya kudumu lkn akijua resell value yake itakua ni ndogo hayo magari yanayoitwa majini mafuta ndio muafaka kabisa...
Mkuu brevis kwa kwenye foleni kama dar inaweza kuwa inakula km ngapi kwa litre?Vuta hio Brevis boss.
Ulaji wa gx 100 na brevis unaweza kuwa upo sawa?Hahah kile chuma nilikua naki-abuse sana mkuu na hakikuwahi hata kuniangusha aisee,pamoja na kutumia mazda rx-8,bimmer 328ci,disco 2 na mpk sasa nimerudi tena kwny toyota lkn kile chombo kilikua kinasitiri sana mkuu.
Uzuri siku hizi mikononi kwa watu yanauzwa bei rahisi saana nataka by mwezi wa 9 ambapo ntakua na safari za mara kwa mara za kwenda mikoani ntamvua mtu chap nianze kulisafiria.
Vuta wakati huu wa janga Brevis zimeshuka mpaka 3.5mVuta hio Brevis boss.
Naunga mkono hoja mkuu.Vuta wakati huu wa janga Brevis zimeshuka mpaka 3.5m
Ikiwa na maana kwamba, ist inachanganya upesi.?!Matumizi ya gari na uhai wake inategemeana na geografia ya eneo unapolitumia...
Brevis tulitoka nayo home Ile gari ni balaa mafuta ya Lita 10 inanusa Tu yamekata.. na services yake hata spare zake ni gari...
I mean, ni nyepesi, na prado ni nzito kuchanganya.?!Ikiwa na maana kwamba, ist inachanganya upesi.?!
Cresta niliyotumia mimi ni ya 2.0L na ambayo ndio engine common kwa cresta nyingi zikizoko bongo,ingawa pia cresta ana version zake nyingine zinazotumia engine the same na zilizoko huko kwny brevis za(2.5L&3.0L).Ulaji wa gx 100 na brevis unaweza kuwa upo sawa?
Ile ngoma inachezea 6km/L mkuu.Mkuu brevis kwa kwenye foleni kama dar inaweza kuwa inakula km ngapi kwa litre?