Kati ya Toyota Brevis na IST ipi inaweza kuishi miaka mingi?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aya ya mwisho imenichekesha, hukufanya utafiri ni kwanini mnyama IST alikupita na hukumkamata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Starlet..
Ukiitaja tu Toyota Brevis kila mtu atakwambia hill ni jini. Linakunywa mafuta mengi, vipuri vyake bei juu na havipatikani kwa urahisi. Atakushauri ununue IST au magari mengine madogo...
 
Nimetumia 2.5 na 3.0 hakuna tofauti kubwa.
 
duh siamini kama hujui kuandika kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…